Date in style like Neymar - You need to be loaded though (PHOTOS)

hawa wenzetu wanakomaa. Neymar is 22 ila utadhani yuko 30's duuhh.
 
Unakuta hata hajamvulia pichu
 
Unadhani kipato cha Neymar ni sawa na kilivokua kipato cha Ndikumana!!alafu starehe ya mwenzio wewe unaiita ulimbukeni kweli...dada mwenyewe kama kachongwa!

Kachongwa kweli hayo maziwa sio ya kawaida....ila nimempendea height kaajaliwa kweli
 
Na unaweza kukuta ndugu zake wengine wa Neymar hali c nzuri kimaisha na yy anaendekeza ulimbukeni!

Neymar ana miaka 22 analipwa £150,000 kwa wiki ambayo ni zaidi ya mil 200 za kibongo apo bado pesa za Nike na matangazo mengine kifupi ni mgodi wa dhahabu unaotembea, ni haki yake ku2mia atakavyo ana umri unaruhusu
 
jamani lloh
baba naniliu ntumie ht baiskeli inifate pleaaaas
 
Siku wakistaafu wanakuwa hawana kitu
 
Hakuna anayefikia demu wa ronado kwa hawa wacheza mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…