KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Tena hiyo 400 unapewa kwa masimango mpaka unajuta
wakati wengine wanatumiwa Private jet
wengine zinatumwa 400 za nauli ya daladala
tena sikutumii maanake unaweza usije....unakuja then naku-refund.....ila mademu wa kiswahili nao shidaaah, una mwambie achukue taxi/bajaj from gongolamboto yeye anachukua daladala mpaka kituoni karibu na kwako akifika hapo anachukua bajaj buku mia tano halafau anakupiga invoice ya taxi 20,000!!!!!!!!!!!!1

Haaaaaaa mie ukituma nakuja tu, sasa akikupa hiyo invoice ya 20,000 unaenda kumpa dereva moja kwa moja