TRUE STORY
Kuna mwanamke mmoja alikuwa anatamani sana kuwa mwanaume.
Alikuwa anaona kama kuwa mwanamke hakumfai, alikuwa anaona kama kuwa mwanamke sijui wanapitia changamoto nyingi(kwa mtazamo wake) kwaio akaona kuwa mwanaume kutamrahisishia maisha.
Bac bhana akaenda kufanya surgery akawa trans-male.
Baada ya miezi mitatu alikuwa analalamika kwa ndugu zake kwamba anahisi amefanya kosa sana kujibadilisha bora angebaki vilevile mwanamke, haikupita muda akajinyonga.
Aliacha ujumbe kabla hajachukua hayo maamuzi ya kujinyonga, kweny huo ujumbe alikuwa akieleza jinsi gani maisha yake yalivobadilika baada ya kubadili jinsia, alisema alipokuwa mwanamke alikuwa anapata marafiki wengi wa kike na marafiki wa kiume ambao walikuwa wakim-treat vizur na kumjali ila baada ya kuwa mwanaume alikuwa hapati tena marafiki kirahisi na hata anaopata hawamjali kwa kama walivokuwa wanamjali hapo awali alivokuwa mwanamke.
Alisema baada ya kuwa mwanaume, alipokuwa ana approach girls walikuwa wanamkataa na wengine wanam-ignore tuu, girls wengine wakawa wanamjibu vibaya(ilikuwa inamuumiza sana because alikumbuka jinsi na yeye alivokuwa akiwakaushia boys), marafiki zake wa kiume nao walikuwa hawamjali kama mwanzo alipokuwa mwanamke, kuwa mwanaume kulimpunguzia emotional support kwa kiwango kikubwa sana.
Alisema pia wakati alipokuwa mwanamke watu walikuwa wanamwonea huruma sana na support alikuwa anapata kirahisi, alisema alipokuwa kweny public places(hospital/restaurants) services alikuwa anapata kirahisi na alikuwa anasikilizwa vizur, ila baada ya kubadili jinsia hayo yote yamepungua, watu hawamwonei tena huruma, hapati huduma kirahisi kama zamani na support imepungua.
Baada ya kuona maisha yake yamebadilika ghafla(hamna mtu anayejali hisia zake wala shida zake) na hawez kurudi nyuma akaamua afupishe safari, akajinyonga.
Wanawake wanadhaniaga kuwa mwanaume ni rahisi, but it's the opposite, yeye kashindwa kuvumilia kuwa mwanaume miezi mitatu wakati sisi tangia tuzaliwe tuna experience hayo mambo na hatujawahi kufikiria kujinyonga. They need to appreciate us as we appreciate them