Dating double standards, why does anyone accept this?

Kiukweli YANGA pale timu hamna[emoji34]
A.K.A Kitayose fc iliyochangamka, kule CAF watapigwa pigwa kama ngoma, watarushwa rushwa kama mchele kwenye ungo, watatwangwa twangwa kama kisamvu kwenye kinu mpaka wajute.
 
Wee fikiria wale waarabu watamfunga yupi, timu yenyewe tegemeo Ni mzize[emoji26]
 
Upo aware na scandal iliyomkuta president wa spain football federation, alimbusu Jenni Hermoso on the lips wakati wanagaiwa medali.
Jennifer Hermoso hakuonesha kukwaza na hicho kitendo, tena alifurahi.
Asaiv yule president kasimamishwa na fifa kwa sexual assault.
Kinachoshangaza ni kwamba juzi kuna video ime leak mtandaoni ikimwonesha Jenni Hermoso mwenyew wakati wapo kweny bus alikuwa akifurahi na kuonyesha/kuwaringishia wenzake video akipigwa busy na yule president, ni jambo la kushangaza sana.
Transition iliotokea hapo hata siielew from kuwaonesha wenzake video huku akionekana amefurahi to pressing charges.
Sijui amekutana na feminists wakamshauri amshtaki or maybe hajisomi tuu, mm sijui ninachojua kuna shida kweny hii feminism.
Jenni Hermoso ni mtoto mzuri, Rubiales wakati anam hug on the spot alijikuta amesham kiss zamani mno.
 
Safi sana umeielezea kwa kifupi na clear kabisa 😳😳😳..... it's not fair, wanaume tunaonewa...
TRUE STORY

Kuna mwanamke mmoja alikuwa anatamani sana kuwa mwanaume.
Alikuwa anaona kama kuwa mwanamke hakumfai, alikuwa anaona kama kuwa mwanamke sijui wanapitia changamoto nyingi(kwa mtazamo wake) kwaio akaona kuwa mwanaume kutamrahisishia maisha.
Bac bhana akaenda kufanya surgery akawa trans-male.

Baada ya miezi mitatu alikuwa analalamika kwa ndugu zake kwamba anahisi amefanya kosa sana kujibadilisha bora angebaki vilevile mwanamke, haikupita muda akajinyonga.

Aliacha ujumbe kabla hajachukua hayo maamuzi ya kujinyonga, kweny huo ujumbe alikuwa akieleza jinsi gani maisha yake yalivobadilika baada ya kubadili jinsia, alisema alipokuwa mwanamke alikuwa anapata marafiki wengi wa kike na marafiki wa kiume ambao walikuwa wakim-treat vizur na kumjali ila baada ya kuwa mwanaume alikuwa hapati tena marafiki kirahisi na hata anaopata hawamjali kwa kama walivokuwa wanamjali hapo awali alivokuwa mwanamke.

Alisema baada ya kuwa mwanaume, alipokuwa ana approach girls walikuwa wanamkataa na wengine wanam-ignore tuu, girls wengine wakawa wanamjibu vibaya(ilikuwa inamuumiza sana because alikumbuka jinsi na yeye alivokuwa akiwakaushia boys), marafiki zake wa kiume nao walikuwa hawamjali kama mwanzo alipokuwa mwanamke, kuwa mwanaume kulimpunguzia emotional support kwa kiwango kikubwa sana.

Alisema pia wakati alipokuwa mwanamke watu walikuwa wanamwonea huruma sana na support alikuwa anapata kirahisi, alisema alipokuwa kweny public places(hospital/restaurants) services alikuwa anapata kirahisi na alikuwa anasikilizwa vizur, ila baada ya kubadili jinsia hayo yote yamepungua, watu hawamwonei tena huruma, hapati huduma kirahisi kama zamani na support imepungua.

Baada ya kuona maisha yake yamebadilika ghafla(hamna mtu anayejali hisia zake wala shida zake) na hawez kurudi nyuma akaamua afupishe safari, akajinyonga.

Wanawake wanadhaniaga kuwa mwanaume ni rahisi, but it's the opposite, yeye kashindwa kuvumilia kuwa mwanaume miezi mitatu wakati sisi tangia tuzaliwe tuna experience hayo mambo na hatujawahi kufikiria kujinyonga. They need to appreciate us as we appreciate them
 
1694502992227.jpg
Halafu utaambiwa tuma na ya kutolea
 
Back
Top Bottom