Kwa bongo hakuna timu inayowezankutoa pesa hiyo tusidanganyaneNyinyi uwezo wenu kwa sasa ni kusajili wachezaji aina ya Habibu Kiyombo! Yaani mkiwekewa dau la kuanzia milioni 10-50 hivi, mnaweza kujitumumua.
Hayo madau ya milioni 100-600, waachiwe Yanga na Azam.
Kabisa kabisa......Ili kuchukua ubingwa wa michuano mikubwa club inabidi ifanye mojawapo ya mambo mawili, ama inunue wachezaji Bora Kwa Bei kubwa au uwekeze kwenye academy lakini Simba inasema milioni 600 ni kubwa wakati huohuo hatuzalishi wachezaji Bora hapo Kuna maswali ya kujiuliza
Yanga juzijuzi tu walikuwa hatiani kuburuzwa kortini kisa hawataki kulipa fedha za usajili za Mshery kutoka mtibwa ambapo yanga walimchukua kwa malikauli tu,kumbe nao mtibwa walimchukua kutoka moro kids kwa malikauli pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo moro kids wanadai chao.....Nyinyi uwezo wenu kwa sasa ni kusajili wachezaji aina ya Habibu Kiyombo! Yaani mkiwekewa dau la kuanzia milioni 10-50 hivi, mnaweza kujitumumua.
Hayo madau ya milioni 100-600, waachiwe Yanga na Azam.
Wapo ngozi nyeusi hapo uarabuni na wanafanya vizuri sanaa uwanjani.Wachezaji wajifunze, kama ngozi yako ni nyeusi kamwe usiende Uarabuni lazima utatamani kimbia
Basi tatizo ni ligi yetuWapo ngozi nyeusi hapo uarabuni na wanafanya vizuri sanaa uwanjani.
Haya ndiyo mawazo yaliyosababisha msajili Kyombo badala ya Manzoki.Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa Mabingwa wa zamani wa Afrika Al Ahly.
“Dau la Shilingi Milioni 600 ni kubwa kwetu kulitoa kwa mchezaji mmoja na badala yake uongozi umepanga kuachana naye, licha ya yeye mwenyewe kukubali kurejea tena kwetu.”
“Kiasi hicho cha fedha ni kikubwa kama klabu hatuna uwezo wa kumpa na badala yake tutaangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili katika Dirisha Dogo.”
“Tunaheshimu kiwango cha Luis. lakini ukubwa wa dau hilo la fedha limetufanya tuachane naye na kuangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili.”
“Tunafahamu na kuheshimu kiwango bora cha Luis, lakini kama klabu hatupo tayari kumpatia kiasi hicho cha fedha cha Shilingi Milioni 600.” amesema Try Again
View attachment 2440531
Tatizo la simba kushindwa kusajili wachezaji bora ni yule mwenyekiti wao wa mchongo, Try to bargain, huyu Mo amuondoe ampe kitengo cha kuuza Mo sembe au mo energyHaya ndiyo mawazo yaliyosababisha msajili Kyombo badala ya Manzoki.
Kuna watu hapo Simba ni wapumbavu sana wanadhani ni rahisi tu kupata wachezaji wazuri.
Hii ni akili mbovu sana na watu wenye akili hii ni huwa ni matatizo katika maendeleo ya soka.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
mmh, hilo ni togwa au,khaa
hawa jamaa ni wataalam wa kuiba iba wachezaji wa wenzao,haya lipeni huyoKiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa Mabingwa wa zamani wa Afrika Al Ahly.
“Dau la Shilingi Milioni 600 ni kubwa kwetu kulitoa kwa mchezaji mmoja na badala yake uongozi umepanga kuachana naye, licha ya yeye mwenyewe kukubali kurejea tena kwetu.”
“Kiasi hicho cha fedha ni kikubwa kama klabu hatuna uwezo wa kumpa na badala yake tutaangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili katika Dirisha Dogo.”
“Tunaheshimu kiwango cha Luis. lakini ukubwa wa dau hilo la fedha limetufanya tuachane naye na kuangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili.”
“Tunafahamu na kuheshimu kiwango bora cha Luis, lakini kama klabu hatupo tayari kumpatia kiasi hicho cha fedha cha Shilingi Milioni 600.” amesema Try Again
View attachment 2440531
Wakute ig sasa Wanavyopiga keleleYani hizi klabu bana. Milioni 600 inasema ni nyingi? Alafu tunajinadi ni klabu kubwa Afrika.