Dau la Miquissone lipo juu licha ya yeye kukubali

Dau la Miquissone lipo juu licha ya yeye kukubali

Ingekuwa ndo anakuja kwa mara ya kwanza hapo sawa ila mchezaji simba ndo wamemuuza halafu wamnunue tena kwa dau kubwa hzo hesabu za wapi sasa simba akitoa hizo million 600 itakuwa amepata faida gani kwenye Dili la miquisoni au ndio kufurahisha mashabiki lakini club inajaa madeni.
Faida ya klabu kwa washabiki Ni kuwafurahisha kwa kutwaa mataji.hawana mgao wa fedha hizo zinabaki kwa kina mo/eng.Hersi nk
Na kawaida mfano Pogba na man U.jifunze kabla ujaropoka
 
Back
Top Bottom