Pics
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 240
- 181
Faida ya klabu kwa washabiki Ni kuwafurahisha kwa kutwaa mataji.hawana mgao wa fedha hizo zinabaki kwa kina mo/eng.Hersi nkIngekuwa ndo anakuja kwa mara ya kwanza hapo sawa ila mchezaji simba ndo wamemuuza halafu wamnunue tena kwa dau kubwa hzo hesabu za wapi sasa simba akitoa hizo million 600 itakuwa amepata faida gani kwenye Dili la miquisoni au ndio kufurahisha mashabiki lakini club inajaa madeni.
Na kawaida mfano Pogba na man U.jifunze kabla ujaropoka