Dau la Miquissone lipo juu licha ya yeye kukubali

Ili kuchukua ubingwa wa michuano mikubwa club inabidi ifanye mojawapo ya mambo mawili, ama inunue wachezaji Bora Kwa Bei kubwa au uwekeze kwenye academy lakini Simba inasema milioni 600 ni kubwa wakati huohuo hatuzalishi wachezaji Bora hapo Kuna maswali ya kujiuliza
 
Kabisa kabisa......
 
Nyinyi uwezo wenu kwa sasa ni kusajili wachezaji aina ya Habibu Kiyombo! Yaani mkiwekewa dau la kuanzia milioni 10-50 hivi, mnaweza kujitumumua.

Hayo madau ya milioni 100-600, waachiwe Yanga na Azam.
Yanga juzijuzi tu walikuwa hatiani kuburuzwa kortini kisa hawataki kulipa fedha za usajili za Mshery kutoka mtibwa ambapo yanga walimchukua kwa malikauli tu,kumbe nao mtibwa walimchukua kutoka moro kids kwa malikauli pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo moro kids wanadai chao.....

Taja mchezaji wa yanga ambaye amekuja kwa kununua mkataba wake kutoka katika timu anayotoka,nimekaa paleeee.....

Morrison ndio huyo mlikuwa mnalilia release letter kutoka simba
Ki free
Hawa wacongo wamafungu wote ni free na malikauli,
Afadhali ya simba wamenunua mkataba wa Akpan

Niachoelewa timu hizi hazina pesa na hata hizo pesa kidogo zinazopatikana kama viingilio na wadhamini wanazitumia katika uchawi na kununua mechi.
Ndio maana unaona timu za juzi tu Namungo,Kagera,Gwambina,Azamn.k zinamiliki viwanja vyao lakini wengine hata kwa kufanyia mazoezi ya kichurachura [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] tu hawana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2440758
 
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa Mabingwa wa zamani wa Afrika Al Ahly.

“Dau la Shilingi Milioni 600 ni kubwa kwetu kulitoa kwa mchezaji mmoja na badala yake uongozi umepanga kuachana naye, licha ya yeye mwenyewe kukubali kurejea tena kwetu.”

“Kiasi hicho cha fedha ni kikubwa kama klabu hatuna uwezo wa kumpa na badala yake tutaangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili katika Dirisha Dogo.”

“Tunaheshimu kiwango cha Luis. lakini ukubwa wa dau hilo la fedha limetufanya tuachane naye na kuangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili.”

“Tunafahamu na kuheshimu kiwango bora cha Luis, lakini kama klabu hatupo tayari kumpatia kiasi hicho cha fedha cha Shilingi Milioni 600.” amesema Try Again

View attachment 2440531
Haya ndiyo mawazo yaliyosababisha msajili Kyombo badala ya Manzoki.

Kuna watu hapo Simba ni wapumbavu sana wanadhani ni rahisi tu kupata wachezaji wazuri.
Hii ni akili mbovu sana na watu wenye akili hii ni huwa ni matatizo katika maendeleo ya soka.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la simba kushindwa kusajili wachezaji bora ni yule mwenyekiti wao wa mchongo, Try to bargain, huyu Mo amuondoe ampe kitengo cha kuuza Mo sembe au mo energy
 
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa Mabingwa wa zamani wa Afrika Al Ahly.

“Dau la Shilingi Milioni 600 ni kubwa kwetu kulitoa kwa mchezaji mmoja na badala yake uongozi umepanga kuachana naye, licha ya yeye mwenyewe kukubali kurejea tena kwetu.”

“Kiasi hicho cha fedha ni kikubwa kama klabu hatuna uwezo wa kumpa na badala yake tutaangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili katika Dirisha Dogo.”

“Tunaheshimu kiwango cha Luis. lakini ukubwa wa dau hilo la fedha limetufanya tuachane naye na kuangalia mchezaji mwingine wa aina yake tutakayemsajili.”

“Tunafahamu na kuheshimu kiwango bora cha Luis, lakini kama klabu hatupo tayari kumpatia kiasi hicho cha fedha cha Shilingi Milioni 600.” amesema Try Again

View attachment 2440531
hawa jamaa ni wataalam wa kuiba iba wachezaji wa wenzao,haya lipeni huyo
 
.
FB_IMG_1670651580611.jpg
 
Back
Top Bottom