Ingekuwa ndo anakuja kwa mara ya kwanza hapo sawa ila mchezaji simba ndo wamemuuza halafu wamnunue tena kwa dau kubwa hzo hesabu za wapi sasa simba akitoa hizo million 600 itakuwa amepata faida gani kwenye Dili la miquisoni au ndio kufurahisha mashabiki lakini club inajaa madeni.