Tuandamane....
nipo nafuatilia mambo behind the scene ili kuhakikisha kila alichosema Balali kuhusu wana ccm na uizi wao uliokithiri vinawekwa hadharani kwa muda maalumu.
Tupo pamoja kwenye hili na mimi narudia kile nilichosema tangu ijumaa iliyopita:
Roast in Pug (RIP) Balali.
Roast in Pug (RIP) Balali.
JK kumbe kichwa! aliweza kujua kama balali atakufa within six months baada ya kamati ya EPA! kweli tanzania tunawataalamu wa mambo ya sumu!
Ha ha haaaaaaaaaaa!
Mwafrika wa Kike, nilidhani jana ulisema "time to move on..."
Ghafla RIP imegueka Roast in Pug, ha ha haaaaaaaa
Mwafrika, kubali umesilizia upepo ulipo puliza. Kubali ndugu yangu!
Kusema ukweli nimeiogopa Jambo Forums and I am so proud to be a member . It took other media two days to release this story . Kweli JF ni kiboko.
Rudi usome nilichokuwa naandika kwenye ile thread ya mkjj kuhusu kifo cha Balali toka week iliyopita.
Kusema ukweli nimeiogopa Jambo Forums and I am so proud to be a member . It took other media two days to release this story . Kweli JF ni kiboko.
Sawa. Nasema ulicho andika jana, baada ya kifo!
LOL! Ohhh man!
14th May 2008, 03:38 PM
mwafrika wa kike
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Jul 2007
Posts: 4,570
Rep Power: 30
Thanks: 965
Thanked 2,217 Times in 1,271 Posts
Credits: 131,762
Re: Balali alishakufa, hatukuambiwa?
--------------------------------------------------------------------------------
Rest in Peace Balali ........
Fisadi mkubwa wewe.....
14th May 2008, 06:31 PM
mwafrika wa kike
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Jul 2007
Posts: 4,570
Rep Power: 30
Thanks: 965
Thanked 2,217 Times in 1,271 Posts
Credits: 131,762
Re: Balali alishakufa, hatukuambiwa?
--------------------------------------------------------------------------------
Roast in Pug (RIP) Balali..... fisadi na mwizi mkubwa wewe!
Yesterday, 11:52 PM
mwafrika wa kike
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Jul 2007
Posts: 4,570
Rep Power: 30
Thanks: 965
Thanked 2,218 Times in 1,272 Posts
Credits: 131,762
Re: Ballali hatunaye!
--------------------------------------------------------------------------------
Time to move on!
Sad but true (may be?)........
Tuandamane....
nipo nafuatilia mambo behind the scene ili kuhakikisha kila alichosema Balali kuhusu wana ccm na uizi wao uliokithiri vinawekwa hadharani kwa muda maalumu.
Sasa kulikoni na hii habari? Naiona haijakaa sawa hii!
Too late dadangu. Sasa hivi yeyote atakayasema chochote kuhusu siri za Balali itakuwa rahisi kabisa kuzitupilia mbali maana hakuna namna ya kuthibitisha. Tabia ya kukalia habari inaendelea kututafuna na inaonekana hatujajua kwamba ni kikwazo kikubwa sana kwenye maendeleo ya nchi. Balali, pamoja na dhambi zingine, ameondoka na dhambi mbaya kabisa ya kukataa kututajia walioshirikiana naye katika wizi wa fedha zetu pale BoT. It is too bad.
5.... Angalau hata the big star Hashimu, the basketballer angekuwa amejulishwa na wazungu somehow kuwa kuna mbongo mwenzio hospital amelazwa au amekufa, lakini hata yeye hajui na ni mwenyeji huko Boston!
Wakuu mimi siamini kuwa Balali amekufa, kwa sababu:-
1. kwa wale msiojua ni kwamba katika mji wa State ya Boston, habari za wagonjwa kulazwa hospitali na wagonjwa kufariki wakiwa kwenye hospitali za State hiyo ni open to the public, yaani unaweza kwa kupitia internent kupata info za mgonjwa yoyote aliyelazwa au kufariki huko Boston,
2. Boston, ina wakazi wengi sana wa kutoka bongo, ambao pia wengine wamebobea kwenye sekta ya Medicine kwenye hospital za huko na tunawafahamu kwa karibu, sasa haiwezekani kuwa wote hawajui kwamba Balali aliwahi kulazwa hospitali gani huko!
3. Haiwezekani Balali ambaye mpaka magazeti ya Boston, kama Globe ambayo yanajua kuwa huyu ni mtu of special interest kwa taifa letu na kwa waa-Afrika wengi wanaoishi Boston, afariki dunia wao wasijue kabisaa, lakini gazeti la Tanzania Daima, likajua that is a big joke!
4. Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la kwanza kusema hizi habari, now kweli this is just your usual another death annoucemment, au?
5. Ni kwa nini wa-Tanzania kwa maelfu wanaoshi Boston, hawajui Balali alipokuwa amelazwa au hata habari za msiba? Angalau hata the big star Hashimu, the basketballer angekuwa amejulishwa na wazungu somehow kuwa kuna mbongo mwenzio hospital amelazwa au amekufa, lakini hata yeye hajui na ni mwenyeji huko Boston!
Sasa kulikoni na hii habari? Naiona haijakaa sawa hii!