Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 55
Hivi chenge nae sijui anakufa lini, maana kwavile alitishia kuwa atasema yote kupitia mwana sheria wake, nadhani nae angeanza kutia maji, mwenzie ndo hivo kishanyolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafahamu kisa cha "mtema kuni" na kwanini tunao msemo "utakiona cha Mtema Kuni"? Mtema Kuni alifanya nini hadi akabakia kuwa mfano katika methali....?
According to the dataz.....hata Lowassa, naye amepelekwa huko London kwa Chenge, kwa siri in the last three days!
According to the dataz.....hata Lowassa, naye amepelekwa huko London kwa Chenge, kwa siri in the last three days!
According to my grandma,
Mtema kuni alivyomaliza kutema kuni zake, akakaa chini na kuanza kuvuta tumbaku kwa fujo. Alipopata stimu ya kutosha, akatupa majivu yenye moto kwenye nyasi na hivyo kuchoma msitu na kijiji kizima kikamshushia kipigo cha mbwa mwizi.
Nae si ajabu ni mgonjwa mahututi anavuta pumzi zake za mwisho kabla umauti haujamfika. Machale yamenicheza mkuu, Ballali kifo chake kina utata mkubwa kama walifikiri tutaamini kirahisi kwamba Ballali kafariki basi wameula wachuya.
Hashim hajui? Vifo vya kutatanisha vikitokea Chicago, hawamuulizi Michael Jordan.
Hashimu akuulize wewe nini kinaendelea Bongo na Marekani, na hata Dunia ya Basketball ilivyo kiwanja hapa. Not the other way around.
Hashimu? Usimaindi Mkuu. Take it easy!
Nawapa pote wanfamilia wote na Watanzania kwa ujumla.
NB:KWENYE SINEMA STARING AKIFA NA PICHA IMEKWEISHA..... "EPA KESI IMEKUFA"

Sidhani kama itakuwa rahisi kwa hawa watu kutuzuga kama wengi wanavyofikiri kwani Marekani mtu akifa sio siri ...hii ni information ambayo hiko open to the public.