Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Nauzungumzia kuhusu kufungiwa visa yake..Under what circumsatances was the man still allowed to live in this country after the visa cancellation?
Labda visa yake haikuwa cancelled! Utaweza usanii wa Kichaka na serikali yake. Hata hivyo kuna watu mamilioni ambao visa zao ziko cancelled na wanakufa na kuzikwa hapa US.
Dua la kuku halimpati mwewe...Mi nakwambia nitawabana mpaka wajue kweli Tanzania mpya si ya zamani!
Tatizo hapa ni kwamba...Kama serikali yetu haitupi ushirikiano..Then wanafanya nini madarakani?
Mi naona hakuna tena muda wa business as usuall!
Kama hao washauri wa JK ni wazembe kiasi hicho..Then itamkosti Muungawana kwa namna isiyoweza kuelezewa!
Labda visa yake haikuwa cancelled! Utaweza usanii wa Kichaka na serikali yake. Hata hivyo kuna watu mamilioni ambao visa zao ziko cancelled na wanakufa na kuzikwa hapa US.
Dua la kuku halimpati mwewe...
taratibu bana,tupo ktk msiba.
...Nakuaminia Kaka, najua utakuwa umehakikisha, maana haufanyi mambo ya kukurupuka kama 'wengine wapenda masifa na unafiki' tulio nao hapa....
...i really don't know how to respond at this moment, only engulfed in shock!!!
Narudia kama kuna watu waliokuwa wanaijua hii issue na wanajiita wapinzani na wameshindwa kuwa upande wa wazelendo..Then historia itawaua
yaani siamini ! 44 pages kumuongelea balali ambaye "alishakufa" hata kabla "mwili" wake haujaletwa marekani ! kazi kweli tunayo !
...mmmmmmmmmmmmmh, what??
Labda waje na something convincing..Nakwambia taunting hazitasaidia na nimeshasema kuwa WAZALENDO WA KWELI WATAJULIKANA!
We'll see!
Inaudhi kweli kuwa na watanzania wanafiki wenye kujidai wanaipenda nchi yao kumbe mafirauni wakubwa!
Nakwambia wazalendo watajulikana!
VYOTE..kifo na wizi na all the circumstances surrounding huu mchezo mchafu!waliojua nini - kifo cha Balali au wizi wa Balali?