Balali kafa ndio lakini nimesikitika zaidi kwamba kafa tangu ijumaa iliyopita serikali imebana habari mpka ilipoona imejulikana ndio leo BOT wanatoa kijitaarifa! Hivi watz hii serikali ipo kwa ajili ya nani?Enzi za Benm serikali ilikuwa 'out looking' rather than 'in looking', sasa tuna serikali ya kihuni ambayo inajua mwananchi ni wa kudanganya tu!! UUuuuuuuuuuuuuuwiiiiiii........shame upon the fuckin gov of JK.
Natamani kutokuwa mtz...lakini nitakuwa mm..wapi?najisikia aibu kwa upuuzi huu....Mungu angekuwa bado anaumba land zaidi ningehamia haraka ile angeumba next.....Jamani hatuwezi demand mwili wa Balali urudishwe bongo tuuone au ndo tutakubali fix hilo?
Hivi hata kama serikali ilikaa kimya, kama wewe ni mke au ndugu wa Bilali, kweli utasubiri wiki nzima kwa dunia kujua bwanako/ndugu yako kafa?
Huyo mama kwahiyo alikuwa anadunda tu kwenda mzigoni? Ndugu nao wakawa wanaendelea na ya kwao?
Hii ni uwongo, wanataka kutudanganya Watanzania.