Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Nauzungumzia kuhusu kufungiwa visa yake..Under what circumsatances was the man still allowed to live in this country after the visa cancellation?

Labda visa yake haikuwa cancelled! Utaweza usanii wa Kichaka na serikali yake. Hata hivyo kuna watu mamilioni ambao visa zao ziko cancelled na wanakufa na kuzikwa hapa US.
 
Labda visa yake haikuwa cancelled! Utaweza usanii wa Kichaka na serikali yake. Hata hivyo kuna watu mamilioni ambao visa zao ziko cancelled na wanakufa na kuzikwa hapa US.

Mi nakwambia nitawabana mpaka wajue kweli Tanzania mpya si ya zamani!
Tatizo hapa ni kwamba...Kama serikali yetu haitupi ushirikiano..Then wanafanya nini madarakani?
Mi naona hakuna tena muda wa business as usuall!
Kama hao washauri wa JK ni wazembe kiasi hicho..Then itamkosti Muungawana kwa namna isiyoweza kuelezewa!
 
Mi nakwambia nitawabana mpaka wajue kweli Tanzania mpya si ya zamani!
Tatizo hapa ni kwamba...Kama serikali yetu haitupi ushirikiano..Then wanafanya nini madarakani?
Mi naona hakuna tena muda wa business as usuall!
Kama hao washauri wa JK ni wazembe kiasi hicho..Then itamkosti Muungawana kwa namna isiyoweza kuelezewa!
Dua la kuku halimpati mwewe...
 
Labda visa yake haikuwa cancelled! Utaweza usanii wa Kichaka na serikali yake. Hata hivyo kuna watu mamilioni ambao visa zao ziko cancelled na wanakufa na kuzikwa hapa US.

.....nasikia wana-cremate mwili wa marhumu!!
 
Jamani ni masikitiko makubwa sana kwa msiba wa Balali.

Homework kwa JF na Wabunge wa Upinzani::::

2006-2007, USD 200 million was paid illegally from the EPA account, why did the govt limit the scope of EPA theft to Jan 2005-nov 2005????

Najua serikali inabidi iwe protected isianguke, lakini kwa kweli hapa ndio issue nzima iliyosababisha huyo Balali ashughulikiwe last yr unfortunately na serikali yenyewe under orders from the highest levels.

Mzee Es, Mkjj ebu fuatilieni hiyo smoke.
 
Narudia kama kuna watu waliokuwa wanaijua hii issue na wanajiita wapinzani na wameshindwa kuwa upande wa wazelendo..Then historia itawaua
 
...Nakuaminia Kaka, najua utakuwa umehakikisha, maana haufanyi mambo ya kukurupuka kama 'wengine wapenda masifa na unafiki' tulio nao hapa....

...i really don't know how to respond at this moment, only engulfed in shock!!!

You are right SteveD.

Anyway, Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu Balali panapostahili.

Pole nyingi kwa familia nzima na wengineo wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe.
 
yaani siamini ! 44 pages kumuongelea balali ambaye "alishakufa" hata kabla "mwili" wake haujaletwa marekani ! kazi kweli tunayo !

kufa ameshakufa, kilichobaki ni kusaliwa na kupumzishwa na yote kama mnataka kumuuliza ballali basi nawashaurini mumfuate na mumuulize na majibu "kama mtaweza" mtuletee, so who is volunteering kumfuata ballali ?? najua mpo wengi, its just a matter of giving in the first choice !
 
Labda waje na something convincing..Nakwambia taunting hazitasaidia na nimeshasema kuwa WAZALENDO WA KWELI WATAJULIKANA!
 
Halafu kwenye issue ya EPA tunataka sasahivi everysingle person who's signature kwenye documents zailizo approve hayo mamia ya mamilioni in dollars wakamatwe!
Tunajua kuwa Balali alikuwa gavana wa benki kuu..Lakini kuna saini za mawaziri,maofisa nk!
Wakamatwe kwa kuidhinisha hayo malipo halafu ndio tuendelee kusikia kama kauli alizoacha Balali zitawasafisha ama la!
Balali ni mtu mmoja kwenye kesi ambaye sio signature yake pekee iliyotumika kuidhinisha!
Kuna baruas na supporting documents nyingine!
Wote waliopiga sahihi kwenye ngazi zote wakamatwe!
 
We'll see!
Inaudhi kweli kuwa na watanzania wanafiki wenye kujidai wanaipenda nchi yao kumbe mafirauni wakubwa!
Nakwambia wazalendo watajulikana!

Kwa mtaji huu, ni haki kufikisha Post nyingi hizi kwa kipindi kifupi. Keep it up. though sometimes unajichanganya wewe mwenyewe........

Halafu..........., taratibu basi manake duh..........
 
JMUSHI
watakamatwaje wakati shahidi nkuu HATUNAYE !!

ishuz zote anazo Ballali, kama kuna volunteer anayeweza kumfuata ballali huko alipo, basi aende na kama ataweza kurudi na majibu itakuwa bomba !
hata wakikamatwa, wote wanaweza kusema ballali alitutisha tusaini, sijui tuiite hii kuwa coincidence au nini, na wakisema walitishwa wasaini na ballali, mtakataa ??
watu wajanja jamani eeh !
 
Na pia Serikali itoe TAMKO kuwa walimuhoji lini marehemu!
Kwasababu walikuwa hawamuhitajiThen wakamuhitaji baada ya kifo?
Ama walikuja kugombea newz alizaocha Balali ama ni kufacilitate whatever they seem to be doing?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom