Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 54
hapa kuna kitendawili,sijui ni kipi kifanyike ili ukweli ujulikane.la sivyo tumepigwa bao la kisigino
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NB: Taarifa hizi si rasmi na si za familia au mwanafamilia wa Ballali na hivyo zaweza kubadilishwa wakati wowote ule bila ya maelezo. Ni matokeo ya uchunguzi wa KLHN International.
Na kama kuna watu wana siri ni bora wazitoe sasa hivi la sivyo mambo yakija kuwekwa wazi tutawajumuisha na wezao!
Nimecheka sana kuona wapinzani wanataka kuona mwili !
That "mwili issue" stays within the family and not the government. Hapa inaonyesha ni jinsi gani viongozi wetu hawapo makini. Suala hili ingekuwa vizuri watoe "ombi" na sio "amri".
Nakumbuka marehemu baba yangu mkubwa, alikuwa na mdogo wake ambae alikuwa kwenye cheo kikubwa jeshini miaka ya 80, na walitaka kumzika kijeshi na magwanda, dingi mkubwa alikataa kata kata na jeshi halikuweza kupinga. So, hii ishu ni strictly for the family !
Kwani baba yako naye alikwiba mapesa ya watanzania kama Balali?
in your dreams ! alikuibia na akili zako pia !
Kama baba yako ni fisadi atakufa kifisadi tu kama wengine.
afe mara ngapi ? hizi frustrations zako mimi hazinihusu in any way ! keep that sh*tty a*ss to ya bu*tty self boy !
naona frustrations zimekuzidi hadi unabadili lugha sasa. wewe mama unaweza kuchagua kutetea ufisadi na ukapata baraka za mola.
aliyeanza kuongea utumbio nani ??
labda nikuulize wewe
shut it down butty boy ! jiulize mwenyewe since you claim to have common sense butty boy !
Wewe nawe kwa vitisho sikuwezi.
Maneno mengi lakini vitendo butu..... longolongo kama wasanii kina Kikwete
Huna uwezo wa kuifunga JF fisadi mkubwa kama wewe mama
Mimi namtisha nani?
We mi nakuachia Kada adili na wewe!
We ni mmojawapo wa wapambe wao na unajua sina time!
UPINZANI WENU NYINYI KINA MGAYA NA WENZENU UNA MASWALI!
Hivyo mwache kada aseme anayotaka kwasababu mpaka sasa wao ndio washindi!
Ila zamu ya wazalendo halisi inakuja!
aliyesema anataka kuifunga JF nani ? nipo hapa wakati wewe butty boy unafundishwa kucheza tennis chuo kikuu, upo hapo binti ?