Kaka hakuna sifa kwenye masuala ya kifo! Kama kafa ni kafa tu. SIRI SIRI SIRI mean nothing when things will be out in no time.
BTW: Ngoja nifatilie wapi mwili ulipo
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!Wadungu vyovyote mtakavyoniita.I dont have sympathy with such people. Sitaki unafiki.Hakuwa na sympathy toward us. Alikuwa mbinafsi kupindukia, kwani pamoja na kujua kuwa watamuaa hakutaka kutuambia Watanzania, nani alishirikiana nao kuiba pesa zetu pale BOT:
Nimekuelewa mkuu..... naamini nawe utakuwa umenielewa ni watu wapi namaanisha.Kaka hakuna sifa kwenye masuala ya kifo! Kama kafa ni kafa tu. SIRI SIRI SIRI mean nothing when things will be out in no time.
BTW: Ngoja nifatilie wapi mwili ulipo
Nimekuelewa mkuu..... naamini nawe utakuwa umenielewa ni watu wapi namaanisha.
Anyway, tunakushukuru sana kwa kutuletea habari hii.... again, i remain shocked, you know it is overwhelming to learn this in the shadows of hearing some officials were on a clandestine move to capture him hardly a day ago!!
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!
YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!
Time to move on! ...
So you are saying its possible bredren was dead, but the spies goin to USA was just some shadow-boxin manouvre?
Not so fast!
Let's mourn this funeral first and hold off foreswearing anything.
Estates of decedents should be actionable to recover ill-gotten wealth.
If we do not have that law we need one.
What if, in his death bed, Ndullu signs a legally binding document selling the Bank of Tanzania to his children?
So, I don't know about that "move on" concept.
"May God rest his soul" is all I'm going to say at this juncture.
And I don't know if I really mean that in my heart.
Lord God, you may punish me for being so callous. May you also appreciate my sincerity?