Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Halafu Invisible naomba unijibu maswali haya kama ukiweza..

Hapa unaisemea serikali ama familia?

Kwasababu ni lazima kuwe na taarifa za familia na za serikali!

Je alikufa lini?

Walikuja kumkamata ama kuja kupewa taarifa za kifo?

Mwili wake uko wapi?

My take: Inawezekana mpango wa kufake death ulikuwepo na wakawa wanataka kubuy time kiaina!
Ila ndugu zangu ni vile hamuelewi jitihada zinazofanywa na members wengine hapa ili tuhakikishe kuwa JUSTICE IS TO PREVAILS!
Nani alisema we dont want Balali dead or alive?

Nani aliyesema kuwa miili ya watuhumiwa huwa haitakiwi tena?
 
kama mazishi ni huko huko,hapa hakuna kamchezo kweli,maana kuna ndiye siye
 
Last edited:
Wanafanya jitihada za kufake death..Je zitafanikiwa?
Vipi kama tukigangamala tupewe mwili?
Ngoma bado nzito sana hii..Wasijidanganye kabisa!
Watanzania wa marekani watajenga historia ya kukumbukwa na kuigwa kuwa Nowadays you can never run from justice!
WE WILL SPEAK ON BEHALF OF THE POOR AND OPPRESSED!
 
Inawezekana pia ikawa ni njia ya "kupotea" ili kuanza maisha mapya aidha ahera au Amerika ya Kusini. Anything is possible
 
Ndugu wana JF kunawale wanaozungumza kama hii issue ni utani!
Kwanini serikali itudanganye na MKJJ ajue na Invisible ajue kabla ya serikali na wananchi wengine kuwa Balali kafa?
Naomba majibu tafadhali!
 
Ndugu wana JF kunawale wanaozungumza kama hii issue ni utani!
Kwanini serikali itudanganye na MKJJ ajue na Invisible ajue kabla ya serikali na wananchi wengine kuwa Balali kafa?
Naomba majibu tafadhali!

"There are known knowns. There are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we now know we don't know. But there are also unknown unknowns. There are things we do not know we don't know."

By Rumsfeld
 
"There are known knowns. There are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we now know we don’t know. But there are also unknown unknowns. There are things we do not know we don’t know."

By Rumsfeld

Yap very true. There is something missing here.
 
May be serikali ilitaka tujue haijui na ikajifanya haijui
 
Bandugu,

Ballali ameaga dunia. I have confirmed this and I have to keep you guys informed.

More news to follow

...Inna lilaaah, wa inna ilayhi rajuun! ametangulia nasi tunafuatia...
 
Inasikitisha sana.
Mungu aliyemuumba Daudi Balali (mwenyeji wa Mafinga) hatimaye amemchukua. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Amen
.
 
duh,,,masikini balali!!! anyways R.I.P lakini kama ameacha maandishi tutayapataje?? huu ndio wakati wa kupanga mikakati ya kuyapata hayo maandishi
 
Duh, jamani mwee TZ inatisha!.. kweli alikuwa mgonjwa lakini haya tena makubwa maanake kama angekufa kifo cha kawaida (kutokana na maradhi yake) tungeshasikia mapema..
Ina Laah waina ilaahi Rajiun - Kwake tumetoka na kwake tutarejea!

Mungu amweke mahala pema peponi
 
RIP BALALI.......
italy2025.jpg






Maswali mengi tu lakini sioni majibu...... confused.co.tz!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom