Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Hakuna jambo baya kama unafiki. Nilitarajia wanajambo kuruka kwa furaha kwa fisadi kuondoka. Wizi alioufanyia nchi umeua watoto wangapi pale muhimbili na kwingineko? Barabara mbovu ngapi zimeua watu? dawa mbovu kiasi gani wamekunywa watanzania, mwacheni afe tena bila huruma.

Swala la kumwonea huruma hakuna kabisa! alijua wizi alikaa kimya aliiba.
Familia yake wacha ilie tena sana kwani ilitutesa sana kwa kula jasho la masikini, tena lieni na msipate huruma ya mtu kwani nani anayemuonea huruma yule aliyefiwa muhimbili, bali mmekula fedha zote za dawa za nndugu zao. nanyi mtakufa bila heshima hayo ndio malipo ya mafisadi.

Mtakufa kama iddi amini mtazikwa kama wezi kwa kificho.
mtakufa kama mobutu mtazikwa bila heshima
watanzania watavunja makuburi yenu kwani hamtakuwa nathamani tena.

kama wanauana poa tu kwani hata wauza unga mwishowe ni kuuna.

bado anafuata Chenge, karamagi, mgonja, mkapa, mramba nk.

waonyesheni furaha kwamba hata wasipo wafikisha kwenye sheria mungu atatusaidia. ditopile aliua akabwebwa na kikweke mwambieni sasa akambebe kaburini.

swala la kwamba angetoa ushahidi hilo lisingetokea kamwe, kwani mwizi ni mwizi tu.

Mungu mwenye huruma anasikia kilio cha waja wake. tumwombe Mungu hata kizazi chao kisile fedha zetu walizoficha ulaya.

kifo tu ndio silaha ya masikini,Mungu tusaidie.

siku moja watanzania wake kwa waume watakwenda kuchukua mali walizoibiwa. Mungu atawaongoza na mabomu ya machozi wala ya moto hayatafanya kazi.


wafe wote tanzania ianze upya.
 
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!

YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!

Bwana invisible, ebu tumwagie basi hizo lazi za maandishi. Let's strike before mwili wa marehemu haujaingia mavumbini.

Thanks though for the news!!!
 
kwa habari za karibu kabisa kutoka kwa ndugu wa karibu . Jasusi bali mwizi wa mali za watanzania mficha siri ya uuaji. Ambaye ameshiriki kikamilifu kufilisi taifa la Mungu amefariki dunia ijumaa iliyopita. Vijana wa usalama wa mafisadi wanajitahidi kujua wafiche vipi soo.

watu wema shangilieni kwani saa ya ukombozi wa taifa la Mungu umekaribia wote watakufa kwa kipindi kifupi......
 
Eti Balali amekufa? Invisible angalia tena hizo source mkuu wangu, jina lako zito sana mkuu! Angalia nia na madhumuni ya waliokupa hizo dataz mkuu!

Maana majuzi kuna mahali alionekana akibadilisha vitambulisho vya zamani vyenye jina la Balali na kuwa jina jipya la ............!, Mkuu wangu najua kuwa wewe ni kichwa, ila kwenye hili umetapeliwa na mafisadi, unajua kuwa wana sura nyingi sana!

Field Marshall namuamini...
Invisible namuamini pia...

Sasa mbona mwatuacha njia panda?
 
Niggaz Please!!!!!!!!!!!!!

How can they say tha Balali is dead at the same time they don't know where he is? How can they come to pick him up in U.S if they don't know where he was? That's what the government has said all along.

Niggaz please!!! I thought JF is not WADANGANYIKA! I don't buy this at all until we all see the body.

The report from EPA is supposed to come out in few weeks from Mwanyika, so what do you expect? The 60 billion collected from mafisadi was MAZINGAUMBWE. Now Mwanyika will say that Balali is no longer with us. He was the one who talked to all other MAFISADI and they told him that they will pay back the 60 billion which Mwanyika was reffering to previously.

Please don't buy this nonsense until we prove it.
 
1 + 2 + 3 + 4 = 1234???


1+1=3

RIP ballali,poleni sana ndugu na wana familia.
tafadhali tutolee salamu kwa MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE,mwambie yule kijana alomkataa asigombanie urais 1995 amepata ajali ya KISIASA baada ya ndege yake kushindwa kutua,na pia yule jamaa aloshinda mara 2 ktk kura za mchakato kule DOM ndio ameshika hatamu kwa sasa,ameapa kula sahani moja na WAFISADI.
 
...... Nilitarajia wanajambo kuruka kwa furaha kwa fisadi kuondoka. Wizi alioufanyia nchi umeua watoto wangapi pale muhimbili na kwingineko? Barabara mbovu ngapi zimeua watu? dawa mbovu kiasi gani wamekunywa watanzania, mwacheni afe tena bila huruma..

Hasira na chuki watu tunazo lakini bado hulka yetu wa Tanzania heshima na ukarimu kwa maiti bado upo ngoja azikwe kama bado hayajazikwa

Swala la kumwonea huruma hakuna kabisa! alijua wizi alikaa kimya aliiba.
Familia yake wacha ilie tena sana kwani ilitutesa sana kwa kula jasho la masikini, tena lieni na msipate huruma ya mtu kwani nani anayemuonea huruma yule aliyefiwa muhimbili, bali mmekula fedha zote za dawa za nndugu zao. nanyi mtakufa bila heshima hayo ndio malipo ya mafisadi.

Mtakufa kama iddi amini mtazikwa kama wezi kwa kificho.
mtakufa kama mobutu mtazikwa bila heshima
watanzania watavunja makuburi yenu kwani hamtakuwa nathamani tena.

kama wanauana poa tu kwani hata wauza unga mwishowe ni kuuna.

bado anafuata Chenge, karamagi, mgonja, mkapa, mramba nk..

Wengi wa mafisadi wataanza kuogopa alkini ukiangalia kifo ni bora zaidi kuliko waendelee kutufaidi na kuwaleta ma lawyer na kesi zao zikaendelea mahakamani kwa muda ya miaka kadhaa mpaka tukasahau


........Mungu mwenye huruma anasikia kilio cha waja wake. tumwombe Mungu hata kizazi chao kisile fedha zetu walizoficha ulaya.

Kifo tu ndio silaha ya masikini,Mungu tusaidie.

Siku moja watanzania wake kwa waume watakwenda kuchukua mali walizoibiwa. Mungu atawaongoza na mabomu ya machozi wala ya moto hayatafanya kazi.


Wafe wote TANZANIA IANZE UPYA.

Sina la zaidi bali kuunga mkono maneno yako
 
....exceedingly interesting, walikufa mitume wa mungu ndio itakuwa Balali!!! mungu amrehemu, na mungu huyo huyo atusaidie turudushiwe vijisenti vyetu....amen!!
wkend imeanza jumanne/jumatano....memorial day wkend!!!

Ona huyu naye....keshaanza kuwaza ulabu tu....
Halafu huyu Balali si alishakufa muda mrefu.....sasa big deal nini..?
 
Balali; does it make a different if he's dead or alive?

It makes a huge difference, because he is the one who oversaw the whole thing. So we expect him to tell us the naked truth. He is the one who knows all the people behind all corrupt deals, na sio wale waliotangulizwa.

If he is dead, i will mourn his death and that will mean real mafisadi are champions and Tanzanians and our president are losers. Balali alikuwa nanmba nane kwenye mchezo huo, lazima ana full details za mabeki na washambuliaji wote, na hata timu pinzani. Yeye ndio captain wa mchezo, akiamua kutueleza ukweli ndio tutaujua, at this moment naona bado tunarukaruka.
 
Kutokana na source zangu zilizopo DC nimepata hii habari kutoka kwa mmoja wa masheji wa Balali ambae ni mtangazaji wa TV moja huko DC.

I think we need to know amefariki kwa ugonjwa gani? Lakini i confirmed hii story kabla sijaingia humu JF. I received hizi news kutoka kwa real sources.
 
Bandugu,

Ballali ameaga dunia. I have confirmed this and I have to keep you guys informed.

More news to follow

Da Mungu amuweke mahala pema Amina. Ilaa sasa mbona nasikia kwamba wanamzika huko huko Marekani? Hapa ndipo naanza kuwa na doubt.

Sijui acha nivute subira kama tulivyoambia tu stay tune
 
Kwanza nalia kwamba, kama habari hii ni ya kweli, basi Balali amekwenda huko kuzimuni na siri yote ya ufisadi wa pesa zetu pale BoT; labda kama aliweza kuandaa dossier ya kina na kuliacha kwa mwanasheria wa kuaminika. Mpaka leo nina imani kuwa Balali alikuwa ni tundu tu la kupitishia kinyesi kile ingawa kwa hali hiyo alikuwa anabaki na mpako wa kinyesi hicho na haikuwa rahisi kwake kujichamba katika mazingira hayo. Najua kuwa kifo cha Balali kitapokewa kwa furaha na vigogo wengi ndani ya mfumo wa utawala wa nchi yetu.

Kinachonishangaza ni huu utabiri wa Mwanakijiji hapa JF:

Kuelekea Summer ya Mwaka jana alitabiri jambo baya kuhusu marehemu AC hapa JF nalo likatokea. Kuelekea Summer ya Mwaka huu akatabiri jambo baya kuhusu huyu bwana Balali ambalo nalo linaelekea kuwa limetokea. Nitafurahi sana kama kuelekea summer ya mwaka kesho Mwanakijiji atatabiri jambo baya kuhusu mafisadi wote wa Tanzania, na litokee .
 
wacha azikwe kwa aibu ila maiti lazima ipigwe picha, kafia kwenye nyumba yake ya kifahari maryland ni karibu sana na washington DC.

ubalozi unataarifa ila unaficha kwa maelekezo ya usalama wa mafisadi na fisadi mkuu.
 
Jamani shangilieni kwani Mungu anatuletea ukombozi. Naona majeneza zaidi, naye fisadi mkuu analia kinafiki akijua naye lake laja.
 
Ebwana mimi naona kama tumepigwa Mchanga wa Macho. JF hembu tujaribu kufumbua macho kidogo. Iweje FBI wawaite maaskari wetu halafu ndio tuje kutangaziwa kwamba Amefariki tena wiki iliyopita? Da sijui lakini mimi naona kama hainiingi akilini. Seeing to me is Believing
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom