Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Invisible alete huo ushahidi aliodai or else hii iunganishwe na ile ya MKJJ!
...duuh, jmushi1 kwa speed ya kupost hatukuwezi mkuu!! naona umeamua kumkoma nyani kikwelikweli.......
"There are known knowns. There are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we now know we dont know. But there are also unknown unknowns. There are things we do not know we dont know."
By Rumsfeld
Bandugu,
Ballali ameaga dunia. I have confirmed this and I have to keep you guys informed.
More news to follow
Mimi naona inawezekana either wameshafake hiyo death ama ndio wanafanya hivyo!!
Na hapo sasa ni kweli kuwa haki itakuwa imepotea ama uwezekano mkubwa wa kuyumbishwa.
Maswali ya mwisho mwisho ambayo labda yatatusaidia ni muda wa kifo.
Vitu ambavyo kwa harakaharaka ni haki yetu kujua ni tarehe aliyofariki,death certificate and where he actually died.
Kama madai yao ni kuwa weshamzika..Then waombe Mungu iwe hivyo!
Hapa nilipo nakeep my fingers crossed kwasababu ni wazi serikali ilikuwa ina buy time ili waweze kukamilisha mipango kama ipo!
Na kwasababu wananchi wamekuja juu...Then labda ngoma inasanuka kabla hawaja confirm kuwa deal sasa ni free of inconsistencies before they actually declare that he's dead!
Namsubiri sana Invisible kwa hamu ya khabari mpya!
Sasa na hao makachero waliotumwa na SIRIKALI, hawakupata hata fununu toka ubalozi wetu kwamba mgonjwa ni mahututi? Au ubalozi nao ulikuwa haujui nini kinaendelea kuhusu 'mgonjwa'. Walikuwa wapi miezi yote hii wangoje mpaka 'mgonjwa' awe mahututi ndio watume makachero?
Waungwana, tuna genge la wahuni waliovaa ngozi ya viongozi na kujifanya wanawaongoza Watanzania, lakini ukweli ni kwamba tuna genge la wahuni na mafisadi ambao wamedhamiria kufanya kila wawezalo ili kuuficha ushahidi unaohusiana na ufisadi mbali mbali unaoendelea ndani ya nchi yetu.