Nguruwe
Member
- May 21, 2008
- 26
- 1
R.I.P
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi
AMINA.
Wakati huu ni wa masikitiko makubwa sana.
Nawasahauli serekali watupatie muda wa mapumuziko kwa musiba huu muzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi
May the Lord rest his soul in peace. My sincere condolences to his wife and family.
Na kwa watanzania wote ni musiba mukubwa sana ni maombolezo muno
Huyu nguruwe naye jamani!
Sasa kwaniInvisible yuko wapi mpaka tunasikiliza propaganda za nguruwe za ku copy and paste?
Duh!
Tene ka-join leo, kwa kasi hii huyu atakuwa mzoefu humu amekuja na ID mpya.
... au JF imevamiwa?
Habari hii ni kweli au ndoto ya watu?
Dissinformation leads to missinformation!
hata miye najiuliza.. mtu aweza kufa mara mbili?
Mwenyezi mungu amrehemu mwanga wa milele amuangazie........
Pole kwa familia yote ya Balali, MKJ ulianzisha haya mambo at the end of the day yametokea.
Bwana ametoa na bwana ametwaa. RIP Prof. Daudi Balali