Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!
YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!
Eti Balali amekufa? Invisible angalia tena hizo source mkuu wangu, jina lako zito sana mkuu! Angalia nia na madhumuni ya waliokupa hizo dataz mkuu!
Maana majuzi kuna mahali alionekana akibadilisha vitambulisho vya zamani vyenye jina la Balali na kuwa jina jipya la ............!, Mkuu wangu najua kuwa wewe ni kichwa, ila kwenye hili umetapeliwa na mafisadi, unajua kuwa wana sura nyingi sana!
On the other hand... kuna kiongozi wa Tanzania anayekufa kwa kuwa siku yake imefika?