Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Wana JF.

Hapa kuna kitu mbele yetu sisi tunakitazama na kukiona kisivyo au tunakuwa hatukioni ingawa kipo. Hii inaitwa Double darkenss....

Naomba ni reserve comments zangu nyingine kwa sasa.
 
Naungana Na Wewe Nyangumi Siwezi Kumchagulia Mungu Mahali Pa Kumweka Yeye Balali Ndiye Alikuwa Na Uwezo Wa Ku Ditamini Wapi Pa Kuwekwa Eee Mola Mweke Alipo Mobutu Na Hitler,i Dont Have Sympas With Satanic Argents Who Has Been Sent By Devil To Spoil Our Economy.

Ndg Pezza tuseme Mwenyezi Mungu aweke roho ya marehemu anapoona panapostahiki
 
Kama kweli Balalli amefariki sasa kufichaficha kifo chake kuna faida gani? Si watangaze tu, unless wamemkolimba wenyewe?

wanadai walilazimika kuweka siri ili wapate fursa ya kuwasiliana kwanza na serikali kisha ndugu.....na kilicho muua ni kwamba alilishwa msosi wenye sumu.....kama ujuavyo alienda kutibiwa huko USA.
 
Kama ni kweli taarifa hii, Mwenyezi Mungu yuko pamoja nasi Watanzania katika kulinda na kuhifadhi AMANI ya Nchi yetu. Najaribu kufikiria ushahidi wake (mahakamani) "marehemu" ungeiweka wapi CCM na mustakabali na hatima ya Nchi yetu.
SO YOUR HAPPY KWAMBA THE MATTER HAS BEEN CONSILED AGAIN,AND NEVER MENTION CCM WHEN WE ARE TALKING SERIOUS MATRS ABOUT THE NATION, WAO NDIYO WALIO TUFIKISHA HAPA NA SERA YAO YA UFISADI.
 
Ndg Pezza tuseme Mwenyezi Mungu aweke roho ya marehemu anapoona panapostahiki

Ballali amefanya usanii mpaka siku ya mwisho ya maisha yake. Ujinga mtupu, jamaa na mshahara wa dola 25,000 kwa mwezi bado akaamua kuiba?

Itakuwa ni unafiki kumwombea Billali, ninachoweza kusema ni pole kwa ndugu na marafiki. Kwa Billali labda adhabu aliyopata ni ndogo kuliko makosa yake. Badala ya kuishia Keko atapumzika salama ardhini.

Huu ni usaliti mkubwa sana kwa Watanzania.
 
1+1=3

RIP ballali,poleni sana ndugu na wana familia.
tafadhali tutolee salamu kwa MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE,mwambie yule kijana alomkataa asigombanie urais 1995 amepata ajali ya KISIASA baada ya ndege yake kushindwa kutua,na pia yule jamaa aloshinda mara 2 ktk kura za mchakato kule DOM ndio ameshika hatamu kwa sasa,ameapa kula sahani moja na WAFISADI.
HAPO PAZURI AMEAPA KULA NAO SAHANI MOJA YA UFISADI NAPAPENDA HAPA NDIYO MAANA WALIKAA KIMYA WANZA HALAFU JUZI WAMETUMA SPYS KUFUATA MWILI WA BALALI.
 
it is so sad to be true. tumepoteza ushahidi wa EPA
 
Ndg Pezza tuseme Mwenyezi Mungu aweke roho ya marehemu anapoona panapostahiki
SIR, SIREEM NI UNAFIKI NA KUMFANYA MUNGU HAJUI KAZI YAKE KUSEMA MWEKE MAHALI PEMA,PEPO SI KWA KULA YA MAONI MUNGU YEYE ANAJUA PA KUMWEKA WANA JF MUKOME KUMFUNDISHA MUNGU KAZI YAKE.
 
Ndugu wananchi, MEMBERS WA JF,guests wote 122 nawaona hapa inasoma post hii, na muhimu kabisa waandishi wa habari, sasa tuweke nguvu moja ya kutaka mwili wa balali urudishwe nyumbani kwa mazishi, na juu ya yoye tunahaki ya kuuona mwili wa mtuhumiwa huyu, vinginevyo tutangaze mashambulizi rasmi kwa serikali kuuhusika na "mauaji" ya Balali kwa ajili ya kupoteza ushahidi.

TUAMKE SASA WATANZANIA...........
 
Kuna kitu kinaitwa hindsight bias. Sasa hivi kila mtu atajifanya alijua hii kitu lakini ukweli ni kwamba hatukujua.

Shukrani sana Invisible kwa hizi news na MKJJ kwa ile tungo yako ambayo Invisible ameamua kuitungua.

Kitendo cha Balali cha kuamua kufa na habari zote za ufisadi pale BoT ni cha aibu na kinazidi kuthibitisha kwamba sisi waafrika tuna matatizo makubwa kuliko tunavyojijua. Ingekuwa kwa wenzetu wangeshaandika lundo la vitabu kuhusu hii saga ikiwemo memoirs zake Balali.

Inaelekea bado tunaendelea kuamini kwamba njia peke ya kuendelea kuwa na ushawishi ni kuhakikisha kwamba wananchi hawana taarifa muhimu kuhusu yale tunayoyatenda. Ni aibu sana.
 
SIRI KALI YA TANZANIA itaomboleza sana kifo hiki tena kwa huzuni kubwa. Ni vipi Hivi ni vile okay Cadaver.
 
Ndugu wananchi, MEMBERS WA JF,guests wote 122 nawaona hapa inasoma post hii, na muhimu kabisa waandishi wa habari, sasa tuweke nguvu moja ya kutaka mwili wa balali urudishwe nyumbani kwa mazishi, na juu ya yoye tunahaki ya kuuona mwili wa mtuhumiwa huyu, vinginevyo tutangaze mashambulizi rasmi kwa serikali kuuhusika na "mauaji" ya Balali kwa ajili ya kupoteza ushahidi.

TUAMKE SASA WATANZANIA...........
MZOGA WA BALALI UTATUSAIDIA NINI KAMA ANGEKUWA ICON WA NATION KAMA JK NYERERE ,MANDELA HAPO SAWA AMEKWIBA PESA ALAFU WALETE NUKSI HAPA,HIYO NI EVIL SEED IKIPANDWA HAPA AFTER SOME DAYS ITAOTA NA KUKOMAA NA WATAKUJA AKINA BALALI WENGINE WABAYA ZAIDI ACHA WAMPANDE MAREKANI.
 
Mungu akupe rehema Balali upumzike kwa amani .So ni wasafiri na kila mmoja na siku yake na saa yake na mahala pake .
 
Mungu amulaze mahala pema peponi na pia kifo chake kiwe chachu ya kuweza kufanya watumishi wa Umma kuwa makini na mahamuzi yanayofanyika.

Uhadilifu huwe kitu muhimu sana katika utendaji kazi zetu za kila siku.
 
Hakuna jambo baya kama unafiki. Nilitarajia wanajambo kuruka kwa furaha kwa fisadi kuondoka. Wizi alioufanyia nchi umeua watoto wangapi pale muhimbili na kwingineko? Barabara mbovu ngapi zimeua watu? dawa mbovu kiasi gani wamekunywa watanzania, mwacheni afe tena bila huruma.

Swala la kumwonea huruma hakuna kabisa! alijua wizi alikaa kimya aliiba.
Familia yake wacha ilie tena sana kwani ilitutesa sana kwa kula jasho la masikini, tena lieni na msipate huruma ya mtu kwani nani anayemuonea huruma yule aliyefiwa muhimbili, bali mmekula fedha zote za dawa za nndugu zao. nanyi mtakufa bila heshima hayo ndio malipo ya mafisadi.

Mtakufa kama iddi amini mtazikwa kama wezi kwa kificho.
mtakufa kama mobutu mtazikwa bila heshima
watanzania watavunja makuburi yenu kwani hamtakuwa nathamani tena.

kama wanauana poa tu kwani hata wauza unga mwishowe ni kuuna.

bado anafuata Chenge, karamagi, mgonja, mkapa, mramba nk.

waonyesheni furaha kwamba hata wasipo wafikisha kwenye sheria mungu atatusaidia. ditopile aliua akabwebwa na kikweke mwambieni sasa akambebe kaburini.

swala la kwamba angetoa ushahidi hilo lisingetokea kamwe, kwani mwizi ni mwizi tu.

Mungu mwenye huruma anasikia kilio cha waja wake. tumwombe Mungu hata kizazi chao kisile fedha zetu walizoficha ulaya.

kifo tu ndio silaha ya masikini,Mungu tusaidie.

siku moja watanzania wake kwa waume watakwenda kuchukua mali walizoibiwa. Mungu atawaongoza na mabomu ya machozi wala ya moto hayatafanya kazi.

wafe wote tanzania ianze upya.

kaka BALALI HAJAFA, wanakupiga changa la macho ili msahau kumdai aletwe ili atoe ushahidi KIKWETE WATANZANIA SIO WAJINGA
 
MZOGA WA BALALI UTATUSAIDIA NINI KAMA ANGEKUWA ICON WA NATION KAMA JK NYERERE ,MANDELA HAPO SAWA AMEKWIBA PESA ALAFU WALETE NUKSI HAPA,HIYO NI EVIL SEED IKIPANDWA HAPA AFTER SOME DAYS ITAOTA NA KUKOMAA NA WATAKUJA AKINA BALALI WENGINE WABAYA ZAIDI ACHA WAMPANDE MAREKANI.

BABALI HAJAFA....... tunautaka mwili ili tuamini kuwa kafa
 
Ndugu wananchi, MEMBERS WA JF,guests wote 122 nawaona hapa inasoma post hii, na muhimu kabisa waandishi wa habari, sasa tuweke nguvu moja ya kutaka mwili wa balali urudishwe nyumbani kwa mazishi, na juu ya yoye tunahaki ya kuuona mwili wa mtuhumiwa huyu, vinginevyo tutangaze mashambulizi rasmi kwa serikali kuuhusika na "mauaji" ya Balali kwa ajili ya kupoteza ushahidi.

TUAMKE SASA WATANZANIA...........

Tuandamane!
Nadhani mwenye jukumu la kuurudisha mwili wa BALALI nyumbani kwa mazishi ni familia yake maana serikali ilishamfukuza kazi na alikuwa raia huru(Salva Rwemamu,2008).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom