Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Bandugu,

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Gavana Ballali ameaga dunia.

More news to follow
 
Last edited by a moderator:
Damn, this is shocking!!!! Anyway, the writing was on the wall...
 
Feels like am dreaming after posting that Saddam picture!!

hope turns out not true...
 
Damn, this is shocking!!!!
Yeah, imenibidi kuongea na jamaa zake wa karibu wakanifahamisha kuwa hata Ikulu na Gavana wa BoT wameshatumiwa taarifa. Anyway, kuna zaidi yanakuja!
 
RIP Daudi Balali!wote njia yetu moja!
 
Poleni wanafamilia yake,

Poleni watanzania wengi tuliotaka kumsikia akitoa ushahidi jinsi ambavyo vijisenti vyetu viligawanywa pale benki kuu.

Invisible!!! Tunaomba taarifa zaidi
 
Mzee Mwanakijiji alisema haya, unafahamu hii habari sio nzuri kwa JK wameanza kuwa DITO wanaojua siri za MAFISADI mnakumbuka yule dada yetu aliyetaka kumwaga upupu wa madawa ya kulevya?

Very stupid kwa nini hakumwaga radhi? Waacheni wote watakwisha.
 
Invisible,

Una uhakika na kile unachozungumzia au ?
 
Yeah, imenibidi kuongea na jamaa zake wa karibu wakanifahamisha kuwa hata Ikulu na Gavana wa BoT wameshatumiwa taarifa. Anyway, kuna zaidi yanakuja!

...Nakuaminia Kaka, najua utakuwa umehakikisha, maana haufanyi mambo ya kukurupuka kama 'wengine wapenda masifa na unafiki' tulio nao hapa....

...i really don't know how to respond at this moment, only engulfed in shock!!!
 
Yeah, imenibidi kuongea na jamaa zake wa karibu wakanifahamisha kuwa hata Ikulu na Gavana wa BoT wameshatumiwa taarifa. Anyway, kuna zaidi yanakuja!

Mwili ukwapi?
I am on it pia man!
Mwili mwili ndugu!
Na kafa lini?
 
Kwanini eti kafa baada ya wao waliotumwa kumkamata kufika huku?

Ila pole kwa familia ni muhimu..
Utomaso ndio vigumu kuuacha hapa!
 
Rufiji

Unaweza kusubiri keshokutwa kwenye magazeti ya serikali baada ya kusoma hapa. We are the news maker.

I Love JF.

Hata BBC tumewashinda kwa ku-update news wao every minute sisi every second. Go JF go...
 
Mbona kama kuna kamchezo hapa? This is very serious! I am waiting for Ikulu kutoa pole zake na kumsifu kwamba alikuwa ni mchapa kazi
 
...Nakuaminia Kaka, najua utakuwa umehakikisha, maana haufanyi mambo ya kukurupuka kama 'wengine wapenda masifa na unafiki' tulio nao hapa....

...i really don't know how to respond at this moment, only engulfed in shock!!!
Kaka hakuna sifa kwenye masuala ya kifo! Kama kafa ni kafa tu. SIRI SIRI SIRI mean nothing when things will be out in no time.

BTW: Ngoja nifatilie wapi mwili ulipo
 
Tangulia mbele ya haki Balali, Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayejua siri uliyoondoka nayo.

R.I.P.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom