Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Africa ubinafsi ndo zetu angekuwa rangi nyeupe ungesingizia nini??! kajenga msikin kwa pesa yake nawe jenga kanisa kwa pesa yako tudaidiane sio maneno tu!!!! je? angekuwa kaescro ingefaidikaje wewe ??!!
 
Heri yake Mungu atamzidishia.

Wewe lazima umsifie si mnafanya biashara zenu za kuharibu nguvu kazi ya Taifa pamoja kuuza poda!!Na huko aliko atasema yote anayoyajua kuhusu hiyo biashara yenu kwani kule ndani hakuna mchezo
 
Kapwila Matulu umesahau aliyotuambia Dr Slaah ya kuwa Maaskofu wote wamenunuliwa na LOWASSA !?
 
Kapwila Matulu umesahau aliyotuambia Dr Slaah ya kuwa Maaskofu wote wamenunuliwa na LOWASSA !?
toka lini mti wa pilipili ukazaa zabibu? hata nyoka ajamiiane namna gani na kuku, pamoja na kwamba wote wanataga mayai, katu nyoka hawezi kuzaa vifaranga vya kuku. mzeituni ni mzeituni tu kwa asili na mti pori ni mti pori tu kwa asili hata ulazimishe vipi matunda yake yatakuja kudhihirika siku moja.
 
Huyu Kanyau ndiye niliemsoma katika moja ya nyuzi humu mkazi wa Mikocheni?
 
Tetetetete na alikuwa kada mtiifu wa CCM

swissme
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
Duhhhh ewaaaa haya yalisemwa subiri tuone
 
Mimi nikipata hiyo servant quarter tosha kabisa, hongera zake kwa kumkumbuka muumba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…