Yale unayoita ww mazuri yake muhusika hakuyafanya kwa maana ya uzuri bali aliyafanya ili kuficha uharamia wake. Hauwezi ua mtu kupata pesa afu ukaitumia hiyo pesa kusaidia mtu mwingine.haiko balanced.ni km mchawi kutoa sadaka hdharani kwe nyumba ya ibada siyo kuwa anamtolea mungu kwa upendo, anafanya kujisafisha tu machoni pa watu ili aaminiwe na kuficha uovu wake.
Lkn hata hivo nakubaliana na ww kuwa mengi mungu ndo anajua.
Ingekuwa kaacha biashara haramu kwa tiba afu kaamua kufanya halali, hapo ningempongeza