Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

"Pesa mwanaharamu ata uipakaze damu(dirty money) ukaitoe msikitini na kanisani waamini wataishangilia na watanunua misaafu na biblia"--Afande Sele Mtu na Pesa
 
Aisee!! Kumbe ni DD, mwanzoni nilipoanza kuisoma hii thread nilitaka kusema So inspiring kwa kheri aliyoifanya, but now sina la kusema zaidi ya kukumbusha mafunzo ya Mtume, pale aliposema:

Verily, Allaah is ath-Thayyib does not accept but goodness. Allaah commands moslems as the commands being given to His messengers. Allah said (which means), O (you) Messengers! Eat of the Tayyibat [all kinds of halal foods which Allah has made lawful ] and do righteous deeds. (QS. Al Mu'minun: 51). Allaah also mentioned, O you who believe (in the Oneness of Allaah - Islamic Monotheism)! Eat of the lawful things that We have provided you with. (QS. Al Baqarah: 172). Then The Prophet sallallahu alaihi wa sallam told us a story in which a person did a long hour of travel, his hair was messy and dusty, he lifted his hands pray Ya Rabbi...Ya Rabbi... (My God... My God...), while his drinks are haram, his eating are haram, his clothes are haram, and he is full due to forbidden things, so how can his pray be realized.

Mema ya mtu huyu yatakubaliwa vipi ili hali yametokana na haramu?. Ni Juu yake kuacha yote ya haramu aliyonayo na kufanya tauba ya kweli.
 
Aiseee. ...

Sadaka nyingine huwa ni haramu yaleta machukizo mbele za Mungu. . .
 
Mungu Akuzidishie Pale Palipopungua!!! Uje Na Shule Ya Awali, Msingi Na Sekondari, Bila Ya Kusahau Madrasa Kwa Wtt Wa Imani Hiyo!!!
 
Hatmaye yaliyosemwa yametimia, kumbe watoto yatima wanatumika kama Punda? Hata akidakwa akiuwawa hakina ndugu wa kuhoji.
 
Nampongeza sana kwa moyo huo lakini hilo la nyumba ya yatima sikubaliani nalo hata kidogo.

Kiislam hakuna sababu ya kuwa na nyumba ya yatima. Tuwachukuwe yatima tuwalee majumbani mwetu kama watoto zetu na si kuwawekea vituo vya yatima. Ni kuwadhalilisha.
 
Nampongeza sana kwa moyo huo lakini hilo la nyumba ya yatima sikubaliani nalo hata kidogo.

Kiislam hakuna sababu ya kuwa na nyumba ya yatima. Tuwachukuwe yatima tuwalee majumbani mwetu kama watoto zetu na si kuwawekea vituo vya yatima. Ni kuwadhalilisha.


Acha unaafiki, wewe umechukua mayatima wangapi kuwalea nyumbani kwako?
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
Hapana huu si uungwana kaka 'Too judgmental?????' ushindwe na ulegee. Leta ushahidi au peleka kwa Kamanda Siro
 
Dah.........jamaa ana mengi sna na maisha yake........ikiwemo kuibiwa mke na mtoto wa Mwinyi.........pia ni mdau sana katika kuuza ule unga wetu usioweza pikika ugali wala maandazi...anyway ni maisha yake na mola wake
Hivi Daudi si ndio yule aliyenyang,anywa Mke na Mtoto wa Rais Mstaafu,wakati yeye amefungwa Pakistani huku watu wanawowa mke,Halafu wewe Uliyetumwa kumsherehesha Kanyau humu JF,hebu muulize Kuhusu yule Kijana DALLAS wa Wolper, ANAENDELEAJE?,tulisikia wameanza kumtoboa macho kisa hajarudisha hela za unga aliojidhamini.
Halafu pia na Masheikh wetu wasikimbilie kupokea misikiti bila ya kujua source of incomes za huyo aliyeujenga,wao wataupokea hapa lakini Muumba mwenyewe alisha u eject kwenye zaka,HARAAAAAAM!.
uimamu kwenye huo msikiti keshampata? analipa kiasi gani? unaweza kutueleza anafanya biashara gani? isije kuwa ndio wale wa pesa chafu!
Yametimia Jipu limetumbuka.
 
Back
Top Bottom