Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Safi sana!!
Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!
Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
Duu, aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana!!
Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!
Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
atumbuke tuKanyau katumbuliwa jipu la sembe.
Hakika Mungu atamzidishia azidi kuumiza vijana mtaani.Heri yake Mungu atamzidishia.
Dada Faiza siyo kila misaada ni ya kushukuru! mingine inatokana na hela chafu kama huyo drug lord! uhalibifu anaufanya kwenye jamii ni mkubwa kuliko misaada anayotoa kama kujisafisha kwa jamii.Nampongeza sana kwa moyo huo lakini hilo la nyumba ya yatima sikubaliani nalo hata kidogo.
Kiislam hakuna sababu ya kuwa na nyumba ya yatima. Tuwachukuwe yatima tuwalee majumbani mwetu kama watoto zetu na si kuwawekea vituo vya yatima. Ni kuwadhalilisha.
Kuna watu serikali ilipaswa kuwapa zawadi kwa kutoa taarifa muhimu,Hii ndio ilikuwa JF ya kweli sio hii ya sasa ya kutukanana matusiDah.........jamaa ana mengi sna na maisha yake........ikiwemo kuibiwa mke na mtoto wa Mwinyi.........pia ni mdau sana katika kuuza ule unga wetu usioweza pikika ugali wala maandazi...anyway ni maisha yake na mola wake
umekosea kutamka hivo mkuu.nadhani km hauna matatizo ya umeme kukata kata kichwani ukirudia uliloandika utajua umekosea maana umejumlisha sanambona za makanisa zinatoka kwa walipa kodi ambao ni mashoga na machangudoa.....! kanisa lina penda haya!!!
acha maneno ya chuki hasa kwa mtu anaetoa ushauri usio na hata chembe ya kebehi na chuki.au ndo nanii wa kaka kanyaauAcha unaafiki, wewe umechukua mayatima wangapi kuwalea nyumbani kwako?
Daah, hii post iliwekwa mwaka 2012, leo alichoandika mkuu huyu katika post hii kimetokea kweli. Mbarikiwe wenye maono ya mbali, na wote mliokuwa mnamsifia mrudi kutueleza kama Mungu wa misikitini anaruhusu kuwaharibu wazazi then kuja kuwalea watoto wao kama yatimakanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
Haya sasa, yako wapi! Mkiambiwa mnakuwa wabishi. Si ulisema post haieleweki, sasa kaa hivyo hivyo na ushungi wako.........mgalatia ni nini kimekufika !?...........mbona hueleweki !?.................naona roho inakuuma kuona Muislaam kafanikiwa !:
AMENsadaka za mwenye dhambi,..ni chukizo mbele za Mungu,..
Safi sana!!
Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!
Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
Hapa kuwa na kosa kumshukuru anayetoa!Hatimaye kimekuja kubuma na deal zake zimegundulika
.......duh.....akishajenga shule kuna mwngine atauliza waalimu, mishahara, madawati, chakula. sare, mikopo..........