Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha


Kama huyu ni kijana basi skendo ya miss Tanzania haina maana
 
Allah amzidishie kama kapata kwa njia halali,ila kakosea kutangaza na picha juu!!!
 
tatizo sasa ile bidhaa anayouza inazalisha mateja kibao mtaani...full majanga
 
Drug dealer,namfahamu vizuri na mfuatilie asijewageuza hao watoto punda.Hutaki unaacha sio lazima uamini.
 
huo msikiti bora angejenga shule atatuongezea magaidi huyo.

Kujenga shule is not an issue, mbona zipo nyingi tu, issue ni kuisimamia mkuu, shule ngapi zipo lakini ni bogus tupu ?
Hata huo mradi alioujenga utasema pia unataka usimamizi,ni kweli lakini sio kama shule, wafanyabiashara wanaelewa umuhimu sana wa kujenga shule lakini wakifikiria suala la usimamizi / proper management ndio linawavunja nguvu..na ukisema ujenge then uikabidhi kwa wataalam bila wewe mwenyewe kufuatilia matokeo yake ni utakuwa umepoteza rasilimali yako kuwanufaisha wengine na matokeo ni zero minus.. live example at Savannah Int"l School in Shy.
Huyu jamaa ana akili zake timam, ajenge shule bila kuwapa mafunzo ya kiimani ya kumugopa MOLA wao ? ili iweje ? ikazalishe mafisadi ? Hiyo itakuwa ni sadaka au down the drain ??
 
Hadi wauza Unga wanabarikiwa Siku hizi!!!

Na hao watoto yatima kawajengea ili awageuze punda wake....
Mimi sijui kama ni muuza unga!Ahsante kwa kunijuza nimempa baraka kwa wema wake kama mwanaadamu mwengine yoyote!
 
mungu kakataza kwa kila jema utakalolifanya kwa niaba ya watu/mtu kwa ajili yakumsaidia haupaswi kujitangaza sasa hili ndo kosa la jamaa
 
Kisa kuna msikiti ndo yote mnaongea kwa hz chuki mlizonazo mbeleni usalama hakuna
 
ngoja na yeye akishakatwa ndio watu wataamini
 
mambo km haya km umefanya hili upate malipo kwa mungu haitakiwi kujitangaza hila huyu amejenga hili apate sifa katika jamii basi kwa mungu hana chake maana kajenga apate sifa kashapata hila angejenga kwa ajili ya malipo kwa mungu asingejitangaza.hongera sana daudi kwa msaada wako umetumia hela nyingi hila mbele ya mungu huna kitu bro.unaambiwa ukitoa msaada kwa mkono wa kulia wa kushoto usijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…