Daudi Kanyau alimtajirisha Eric Shigongo na magazeti yake ya udaku

Daudi Kanyau alimtajirisha Eric Shigongo na magazeti yake ya udaku

Abas sijui kapotelea wapi,Huyu alikua ngunguri muuzaji
. Na hela jamaa alikua nayo,
Vijana wa Kino tunamjua alikua na demu kota pale nyuma MK Bar
Ni tumbo moja na Waziri wa Ulinzi wa sasa?
 
Wasanii njaa alikua anawafata anatunga skendo wanamlipa msanii laki 2 hivi kumpooza wanauza gazeti.
Siku moja alimwandika Jide kutoka na Boss wake na kwenda wote Kora south africa. Jide aliporudi ukawa mtiti kinoma wakampoza. Enzi hizo Shuruba nyingi alizipata Amina Chifupa akiwa anasoma makongo akiwindwa na Mpakanjia
 
Nyie mmezaliwa juzi.Shigongo alikuwa anatumia gazeti la KIU kwa makubaliano baada ya mmiliki wake kushindwa kuliendesha vyema.Baada ya gazeti kufufuka,jamaa akadai gazeti lake toka kwa Eric,ndiyo chanzo cha gazeti la IJUMAA kuibuka
Mkuu, nalijua hilo gazeti tangu likiwa jarida la michoro.

Mchoraji mkuu John Kaduma,
Mhariri Derick Murusuri na
Mmiliki ni Amri Salim.


Sema tena nimezaliwa juzi.
 
View attachment 725982

Wana JF,

Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku.

Awali ya yote, Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass). Basi kwenye biashara zao Kanyau akakatwa Pakstan na kudungwa kwa muda fulani.

Baada ya kurudi akakuta amenyanganywa mke wake aitwaye Saida na alihamishwa kutoka walipokuwa wanapanga Sinza.

Likaanzishwa bifu zito ambalo Kanyau ilibidi amtumie E. Shigongo kumuandika Abass mara kwa mara huku wakipiga picha za tafrani za kila aina na kuzitupia kwenye magazeti ya Kiu na Ijumaa.

Ilifika hatua usipomnunulia mke wako gazeti la Kiu na Ijumaa basi upati mzigo magazeti haya yaliuza sana kutokana na mzozo huo.

Ndipo mzee Mwinyi kwa kutanbua urafiki wao akawaamulia mke Saida akarudi kwa Kanyau na Abass akaenda kusomea urubani Marekani. Nasikia sasa hivi Kanyau kachukua chombo cha mwanamziki wa kizazi kipya Diamond.

Tayari picha za kijana wa Kanyau imetoka akimbusu mamandogo wake Zarina the bosslay mtoto wa M7 hapo tutegemee kurudi kwa magazeti haya maana Kanyau ana mapene ya kumwaga na mkewe Saida hatakubali lazima alipize.

Hata hivyo Shigongo alifaidi sana ugonvi kwa kuuza magazeti yake na vitabu ukizingatia watoto wa Mwinyi walikuwa hawagusiki na ndio habari ya mjini. Kila mtu sababu alitaka awe karibu nao.


Soma zaidi Kigogo wa Madawa ya Kulevya akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Aisee shigongo ndio ilikuwa ndio habar zake kabla hajaamia kwa lady j d.Abbas mwinyi alivuma sana kipindi kile.
 
Hapa yupo na BASHITE south hivi majuzi
Screenshot_20190427-221407.jpeg
 
Abbas mwinyi Alienda kusomea urubani akiwa na miaka mingapi?...sijakusoma hapo
 
Back
Top Bottom