Daudi Kanyau alimtajirisha Eric Shigongo na magazeti yake ya udaku

Abas sijui kapotelea wapi,Huyu alikua ngunguri muuzaji
. Na hela jamaa alikua nayo,
Vijana wa Kino tunamjua alikua na demu kota pale nyuma MK Bar
Ni tumbo moja na Waziri wa Ulinzi wa sasa?
 
Wasanii njaa alikua anawafata anatunga skendo wanamlipa msanii laki 2 hivi kumpooza wanauza gazeti.
Siku moja alimwandika Jide kutoka na Boss wake na kwenda wote Kora south africa. Jide aliporudi ukawa mtiti kinoma wakampoza. Enzi hizo Shuruba nyingi alizipata Amina Chifupa akiwa anasoma makongo akiwindwa na Mpakanjia
 
Nyie mmezaliwa juzi.Shigongo alikuwa anatumia gazeti la KIU kwa makubaliano baada ya mmiliki wake kushindwa kuliendesha vyema.Baada ya gazeti kufufuka,jamaa akadai gazeti lake toka kwa Eric,ndiyo chanzo cha gazeti la IJUMAA kuibuka
Mkuu, nalijua hilo gazeti tangu likiwa jarida la michoro.

Mchoraji mkuu John Kaduma,
Mhariri Derick Murusuri na
Mmiliki ni Amri Salim.


Sema tena nimezaliwa juzi.
 
Aisee shigongo ndio ilikuwa ndio habar zake kabla hajaamia kwa lady j d.Abbas mwinyi alivuma sana kipindi kile.
 
Abbas mwinyi Alienda kusomea urubani akiwa na miaka mingapi?...sijakusoma hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…