Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Unapenda mwanamke(mke) wa aina gani?Wa3 itapendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda mwanamke(mke) wa aina gani?Wa3 itapendeza zaidi
Hahah!! Kuna wanawake weupe huwa nawaona nawaelewa sana wakati mwingine naona weusi hali inakua vile vile, sidhani kama nina chaguzi hapoMwanamke mweupe au mweusi
Miss au chura
OhhhoooooMuislamu mkuu
Kumbe Davet ni mwanaume?? Huyu DJ kaanza lini kuintavyuu wanaume??Mapenzi huanza popote pale kwahiyo kupata mwenza bora jf naamini inawezekana kabisa...
Member wa kike wanaovuta moyo wangu shati wapo tu hawawezi kosekana, siunajua tena sisi wanaume kambi popote
50 kwa 50 kati ya me na ke inawezekanajeHahah!! Kuna wanawake weupe huwa nawaona nawaelewa sana wakati mwingine naona weusi hali inakua vile vile, sidhani kama nina chaguzi hapo
Chura akizidi sana inakua noma na umiss ukizidi sana inaleta shida kidogo
Me and I....tehteehh [emoji12]Kwani host wa leo naniii
Awe na akili, amjue Mungu, awe na upendo kwangu na familia yangu kwa ujumla pia awe msikivuUnapenda mwanamke(mke) wa aina gani?
Hiyo avatar yako... nani alikuambukiza pepo mchafu mpaka ukaiweka hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Nimeacha DearAhahahhh Ney niachee usiniharibie
AhahahaaaaaaAkakomba hadi machine ya EFD!
Umeshawahi kupima HIV? Nini kilikusukuma?Awe na akili, amjue Mungu, awe na upendo kwangu na familia yangu kwa ujumla pia awe msikivu
Best yangu, upo?Ahahahaaaaaa pambana mama
Itakua ameona fursa humu ndani...[emoji2]Huyu kijana ID ya zamani ila imeanza kuwa active recently, halafu imechangamka kweli kweli.
Hili swali limepigwa marufuku na tume ya uchaguzi...Unapenda mwanamke(mke) wa aina gani?
Ndio nilishawahi kupima, kuna timu ya Jeshi nilitakiwa kuchezea mpira walikua wanahitaji nifanye vipimo ikiwepo vipimo vya HIV...Umeshawahi kupima HIV? Nini kilikusukuma?
Hapo ndipo upate jibu la uwezo wa kuchambua mambo kati ya muuliza na muulizwa.... HahahahahaSio siri nimependa ustaarabu wake.
Kuna maswali ya kukera na vikejeli lkn ameonyesha ni muungwana kwa majibu yake
Hahah!!Ohhhooooo
I'm Very very sorry again....
Kumbe ulimaanisha Noah...[emoji200] [emoji201]
Sawa babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili swali limepigwa marufuku na tume ya uchaguzi...
Hatutaki maandamano hapa MMU...
You have been warned...
Tusamehe mkuu haturudi