Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ila nilikua naangalia kama kuna kanafasi ka kujiweka umri tu umeniangushaHili swali limepigwa marufuku na tume ya uchaguzi...
Hatutaki maandamano hapa MMU...
You have been warned...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nilikua naangalia kama kuna kanafasi ka kujiweka umri tu umeniangushaHili swali limepigwa marufuku na tume ya uchaguzi...
Hatutaki maandamano hapa MMU...
You have been warned...
Fursa utaitafutaje kabla sijakukagua???Ila nilikua naangalia kama kuna kanafasi ka kujiweka umri tu umeniangusha
Hapo red... usirudie tena. Mimi ni Babu yenu...Tusamehe mkuu haturudi
Babu nakusalimu[emoji137] [emoji137]
Mkuu nilikua nakuchukulia poa lakini una maswali fulani yanahitaji akili nyingi kuyajibu....50 kwa 50 kati ya me na ke inawezekanaje
Heshima na kwako pia mjukuu....Babu nakusalimu[emoji137] [emoji137]
Sawa babuHapo red... usirudie tena. Mimi ni Babu yenu...
Pamoja mkuuPoa man usijari
Basi sawaKawaida tu
mmmh! Unachukulia poa!Mkuu nilikua nakuchukulia poa lakini una maswali fulani yanahitaji akili nyingi kuyajibu....
50/50 inawezekana tu endapo mtoto wa kike atawezeshwa kupata elimu ya kutosha ila ajitambue, pia serikali kuweka sera zitakazo muwezeka ke kua na power sawa na me
Umri?Ila nilikua naangalia kama kuna kanafasi ka kujiweka umri tu umeniangusha
Hadi mdomo wangu ulibaki wazi kabisaaaaa.....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Nahisi tunategemeana nayo yaani inanihitaji pia naihitajimmmh! Unachukulia poa!
Tanzania inakuhitaji wewe zaidi au wewe unaihitaji Tanzania zaidi!
Kwa majibu haya, naona umemzidi DJ akili.....tehteehh...[emoji12] [emoji12]Hahah!! Kuna wanawake weupe huwa nawaona nawaelewa sana wakati mwingine naona weusi hali inakua vile vile, sidhani kama nina chaguzi hapo
Chura akizidi sana inakua noma na umiss ukizidi sana inaleta shida kidogo
Ohhhooooo......[emoji481]Sasa we mzeya waulizaji wengi humu
Au balimi zinaongea sa hizi[emoji23] [emoji23]
Ndio katiba ni muhimu sana ibadirishwe mkuu, hii ya sasa naona haitufai tenaKwa maendeleo tuliofikia kama nchi ni muhimu kuendelea na katiba iliyotufikisha hapa!?maoni yako ni yepi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi najua unataka kusema nini kabla hujasema.