Davet live interview on DJ sepetu show!

mmmh! Unachukulia poa!

Tanzania inakuhitaji wewe zaidi au wewe unaihitaji Tanzania zaidi!
 
Mwenyekiti hadi hapa nimefika mwisho wa kupitia na kuchambua mafaili yaliyoko mezani.

Nitarudi tena kumalizia mafaili yatakayojitokeza mezani hapo baadae
 
Hahah!! Kuna wanawake weupe huwa nawaona nawaelewa sana wakati mwingine naona weusi hali inakua vile vile, sidhani kama nina chaguzi hapo

Chura akizidi sana inakua noma na umiss ukizidi sana inaleta shida kidogo
Kwa majibu haya, naona umemzidi DJ akili.....tehteehh...[emoji12] [emoji12]
Huo ni mtazamo na maoni yangu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…