Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Na pale juu umetagije au una watu wako ambao unajua kutag wengine ndio hujuiNilivyomshamba mkuu sijui kutag hebu nielekeze,serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pale juu umetagije au una watu wako ambao unajua kutag wengine ndio hujuiNilivyomshamba mkuu sijui kutag hebu nielekeze,serious
HahahNilivyomshamba mkuu sijui kutag hebu nielekeze,serious
Ahsante kwa kufungua skruu.Na pale juu umetagije au una watu wako ambao unajua kutag wengine ndio hujui
Khe? Kumbe uko serious?Khatwe sijui my hivi ukiandika cc ndo umetag! Leo jumapili siwezi ongopa Shem!
Usijali mkuu mi ni vizuri ukinitagSorry nilisahau kuku cc
Muda ukifika ndo uni tag sasaThankyuu mkuu
Sawa mkuu tunasubiri masaa ya fikeBado najifunza kutag!
Em screen shots nikuonesheSioni hilo neno tag naona mabano ya square tu,
Thanks naona msimu wa popcorn umerudi[emoji3] [emoji3]Nimerudi tena katika msimu mpya Wa show kabambe ya mikabala ya kuelimisha,burudani ndio nyumbani!
Mida ya jioni tutakuwa live na Davet tukisindikiza mapumziko ya mwisho Wa wiki mpola mpola!
Nakukalibisha ujumuike uende nasi sanj
ali
Cc emmyta
Numbisa
Sakayo
Mwifwa
Putin
Linamo
Neybright
Ukhuty
Young blood
Shunie
Ney
Jose
Beira
Demiss
Jonah my love
Mumu
Nikueleweshe kwa lugha nyepesi kumtag mtu ili apate notification inabidi unaweka @ halafu unaandika jina la mtu pasi kuacha nafasi wala kukosea herufi.Sioni hilo neno tag naona mabano ya square tu,