Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Nimerudi tena katika msimu mpya Wa show kabambe ya mikabala ya kuelimisha,burudani ndio nyumbani!

Mida ya jioni tutakuwa live na Davet tukisindikiza mapumziko ya mwisho Wa wiki mpola mpola!

Nakukalibisha ujumuike uende nasi sanj
ali
Cc emmyta
Numbisa
Sakayo
Mwifwa
Putin
Linamo
Neybright
Ukhuty
Young blood
Shunie
Ney
Jose
Beira
Demiss
Jonah my love
Mumu
Thanks naona msimu wa popcorn umerudi[emoji3] [emoji3]
 
Sioni hilo neno tag naona mabano ya square tu,
Nikueleweshe kwa lugha nyepesi kumtag mtu ili apate notification inabidi unaweka @ halafu unaandika jina la mtu pasi kuacha nafasi wala kukosea herufi.

Hivyo kule anapata ujumbe ila huyo wa kupata ujumbe mpaka awe mtumiaji wa Web kama ni App hawezi pata huo ujumbe.

Hivyo yaani.
 
Back
Top Bottom