Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
MENi jinsia gani huyu interviewer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MENi jinsia gani huyu interviewer?
MmhNaomba kuweka sawa mambo kidogo, mkuu lakini sijasema kwamba mimi ni dhaifu kwa wanawake... lakini pia udhaifu wangu mm ni aibu
Tukio la kushangaza ambalonimewahi kulifanya kwa kumbu kumbu zangu za haraka acha nielekee upande wa michezo, niliwahi kufunga goli zuri kila mtu alishangaa lakini ni katika mechi ya mpira wa miguu
Ushawahi kuangalia porn na kufanya masturbationKimuonekano napenda awe vizuri tu kiasi kwamba kila mtu akimuona aseme kweli jamaa kaoa, nadhani ushanielewa
Kuhusu tabia kwanza kikubwa awe na mapenzi na mimi, msikivu na utulivu pia uhusike hivyo ndio vikubwa alafu vingine vitafuata
Kwa nini mpaka sasa hivi haujaoaBado sijaoa mkuu na kuhusu watoto au mtoto pia bado sijajaaliwa ata mmoja
Miguno hiyo [emoji1]
HalellujahKimuonekano napenda awe vizuri tu kiasi kwamba kila mtu akimuona aseme kweli jamaa kaoa, nadhani ushanielewa
Kuhusu tabia kwanza kikubwa awe na mapenzi na mimi, msikivu na utulivu pia uhusike hivyo ndio vikubwa alafu vingine vitafuata
Hilo goli la mpira wa miguuMiguno hiyo [emoji1]
Nahisi bado muda wangu muafaka wa kuoa haujafikaKwa nini mpaka sasa hivi haujaoa
Dooh! MkuuUshawahi kuangalia porn na kufanya masturbation
Una umri gani nisamehe tu kwa maswaliNahisi bado muda wangu muafaka wa kuoa haujafika
Ebu jibu huko jaman nilikuwa nasubiri jibuDooh! Mkuu
Hahah!!Hilo goli la mpira wa miguu
Good good mzee
Changamoto kubwa inayokabiri biashara yangu mkuu kwanza kabisa biashara yangu ninayoitegemea ipo kariakoo kwahiyo pale gharama za uendeshaji zipo juu sana, pia viongozi wa eneo husika wanapenda sana kutengeneza mazingira ya wao kupata pesa kupitia biashara yanguChangamoto gani kubwa inayokukabili katika biashara yako?
Nitakuja siku kukutembelea kkooChangamoto kubwa inayokabiri biashara yangu mkuu kwanza kabisa biashara yangu ninayoitegemea ipo kariakoo kwahiyo pale gharama za uendeshaji zipo juu sana, pia viongozi wa eneo husika wanapenda sana kutengeneza mazingira ya wao kupata pesa kupitia biashara yangu
Hahah! na mimi naomba tu unisamehe kwa hili jibu langu 24-27Una umri gani nisamehe tu kwa maswali