Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Naomba kuweka sawa mambo kidogo, mkuu lakini sijasema kwamba mimi ni dhaifu kwa wanawake... lakini pia udhaifu wangu mm ni aibu

Tukio la kushangaza ambalonimewahi kulifanya kwa kumbu kumbu zangu za haraka acha nielekee upande wa michezo, niliwahi kufunga goli zuri kila mtu alishangaa lakini ni katika mechi ya mpira wa miguu
Mmh
 
Changamoto gani kubwa inayokukabili katika biashara yako?
Changamoto kubwa inayokabiri biashara yangu mkuu kwanza kabisa biashara yangu ninayoitegemea ipo kariakoo kwahiyo pale gharama za uendeshaji zipo juu sana, pia viongozi wa eneo husika wanapenda sana kutengeneza mazingira ya wao kupata pesa kupitia biashara yangu
 
Back
Top Bottom