Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ni mara ya kwanza kuona ID yako lkn nimependa USTAARABU WAKOHahah! na mimi naomba tu unisamehe kwa hili jibu langu 24-27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mara ya kwanza kuona ID yako lkn nimependa USTAARABU WAKOHahah! na mimi naomba tu unisamehe kwa hili jibu langu 24-27
Kalale wewe...kesho uwahi kwa muhindi!Kwani host wa leo naniii
Nikweli mkuu lakini kuna vitu vingine vinatia ukakasi zaidi kuvifanya, ndio maana ata kuua na kuzini zote ni dhambi lakini unaweza ikazini na ukaogopa kuuaNakushauri shughuli unayosita kuifanya kisa dini ifanye tu. Kukwepa kodi au cheating yoyote dini hairuhusu.
Nilitaka unisemeshe tu. Haya ngoja nikalale[emoji125]Kalale wewe...kesho uwahi kwa muhindi!
Sikutegemea kitu mkuuHukutegemea kupata kitu chake!?
Wapenzi gani unapenda kuwa kama wao jf l mean couple bora
Nifa|bold
DJ sepetu|joanah
Smart911|mahondaw
Huyu kijana ID ya zamani ila imeanza kuwa active recently, halafu imechangamka kweli kweli.Ni mara ya kwanza kuona ID yako lkn nimependa USTAARABU WAKO
Nashukuru sana mkuu na ninafurahi sana kuona maneno yakoNi mara ya kwanza kuona ID yako lkn nimependa USTAARABU WAKO
Mimi najua unataka kusema nini kabla hujasema.Nilitaka unisemeshe tu. Haya ngoja nikalale[emoji125]
Ndio mkuu enzi za kupewa uchawi wa timu [emoji38] [emoji38] [emoji38]Umenikumbusha mbali mno[emoji23] [emoji23] [emoji119]
Sio siri nimependa ustaarabu wake.Huyu kijana ID ya zamani ila imeanza kuwa active recently, halafu imechangamka kweli kweli.
Hilo ni kweli kabisa.Sio siri nimependa ustaarabu wake.
Kuna maswali ya kukera na vikejeli lkn ameonyesha ni muungwana kwa majibu yake
Baado sana, labda mwakani tukijaaliwaMkuu wewe lini uje ufunguke hapa kagame[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] nikweli mkuu nilikua msomaji zaidi hasa kwenye mambo ya great thinkers na jamii intelligenceHuyu kijana ID ya zamani ila imeanza kuwa active recently, halafu imechangamka kweli kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sure mkuu hadi mimi nimetamani kuwa kama yeye ila jazba huwa ipo karibu mno sinaga ustaarabu
Hahah!!Mkuu unataka kuwa perfect sana! Lol!
Jambo gani kubwa umewahi Fanya kwa jamii inayokuzunguka
Vizuri,ikiwa ambavyo huna mke labda unatumia njia ipi kucontrol mihemko!Hahah!!
Nilishawahi kuhamasisha vijana wenzangu kuhusu swala la usafi wa mazingira kipindi bado nakaa nyumbani na ulifanikiwa kwa asilimia kubwa
Davet wenzio kariakoo wamefunga maduka kisa biashara sio nzuri. Siri yako ni nini kiasi cha wewe kuweza kuhimili mtikisiko wa awamu hii?
Davet wenzio kariakoo wamefunga maduka kisa biashara sio nzuri. Siri yako ni nini kiasi cha wewe kuweza kuhimili mtikisiko wa awamu hii?
[emoji1] [emoji1] nikweli mkuu nilikua msomaji zaidi hasa kwenye mambo ya great thinkers na jamii intelligence