Sasa receipts ndo nn na ww jombaa? Bora ungeandika tu kwa lugha yetu adhimuTourism receipts: Kenya US$ 900m, Tanzania US$ 2.4b.
Itabaki historia Victoria na David Beckham walitembelea Tanzania kabla ya Kenya [emoji38]
Infact hadi Jose mourinho amewai fikaNdugu, Victoria Beckham na watoto wake walikuwa Kenya last year. (You can Google that).
But hizi habari zimeacha kuwa kubwa sana Kenya.
Julia Roberts, Demi Lovato, Madonna, Aaron Ramsey, Pep Guardiola na wengine sikumbuki saa hii, wamekuwa safari Kenya in the last few months.
Sana sana hizi habari hazifiki Jamiiforums kwa sababu si habari kubwa sana Kenya.
Idadi ya English Royalty inayofika Laikipia peke yake kila mwaka haijawai onekana Tanzania karne hii.
Ata King wa Holland juzi alikuwa rubani wa ndege za Kenya Wildlife Service.
Kibera tu ndio unaijua Kenya?????? Bongolala lala tukaja vacation wenzetu akienda celebrity kama yeye anaenda kufanya jambo ambalo atanufaika nalo hata mkaazi wa kibera
ndio sehemu duni ukanda huu east africa there is any problem sir,au hujaelewa nilicho maanishaKibera tu ndio unaijua Kenya?????? Bongolala lala tu
Ooh sawa na mji gani east Africa una 70% unplanned settlements?ndio sehemu duni ukanda huu east africa there is any problem sir,au hujaelewa nilicho maanisha
Labda ni uwanja wa Soronera kule Serengeti maana kupaita JNIA ni aibuAlafu kama hapo ni airport muimprove tafadali
Yeah! Kwa wale wanyama mnaokuja kuazima mpeleke maasai mara kuwaonyesha. Na wengine wengi mnawaleta TZ mkiwadanganya ni M-MaraKenya catches the eye of the world’s super rich
Si ati tunaringa....facts in facts
Wanyama wenyewe ndio huvuka Kenya...kwani una kichaa niniYeah! Kwa wale wanyama mnaokuja kuazima mpeleke maasai mara kuwaonyesha. Na wengine wengi mnawaleta TZ mkiwadanganya ni M-Mara
nairobiOoh sawa na mji gani east Africa una 70% unplanned settlements?
Ooh dar slum naskia mko na kila kitu hadi gorofa refu duniani but wazungu huwarank nyuma ya Nairobi. Iyo ni chuki amanairobi
ndioOoh dar slum naskia mko na kila kitu hadi gorofa refu duniani but wazungu huwarank nyuma ya Nairobi. Iyo ni chuki ama
nadhani hapa kunalugha gongana ungeelewa kwenye comment yangu yakwana usingekuwa unapayuka kijinga kiasi hiki tatizo kiswahili hukijuiOoh dar slum naskia mko na kila kitu hadi gorofa refu duniani but wazungu huwarank nyuma ya Nairobi. Iyo ni chuki ama
Check video
Mafanikio ya Tanzania ni mafanikio yetu. Lakini majirani zetu wakenya acheni wivu.
Ooh kiswahili ata tufanye mtihani na wewe na kushinda....any way no need to give you a lugubrious day...I have fastidiously noticed that we can talk nothing with fools like you from bongolalanadhani hapa kunalugha gongana ungeelewa kwenye comment yangu yakwana usingekuwa unapayuka kijinga kiasi hiki tatizo kiswahili hukijui
Are we still on induvidual visitors?? Smh....sai ni 2017
Beckham isnt even a billionaire......
Mnakaa watoto.....sasa kitua Tanzania alitumia pesa ngapi?
Probably stayed for a week spending 2000-8000$ a day which isnt the case probabky spent less than 50000$ for the whole trip sleeping food and travels ....na akarudi...now 5mn itasaidia nani?
kuongea kimagharibi katika mazungumzo ya kiswahili nao ni ujinga vilevile,mihemko yanini wakati nachokizungumza kikowazi rudia kusoma nilichokiandika mwanzo usiuvae mkenge kama hayawani tuOoh kiswahili ata tufanye mtihani na wewe na kushinda....any way no need to give you a lugubrious day...I have fastidiously noticed that we can talk nothing with fools like you from bongolala