David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

kuongea kimagharibi katika mazungumzo ya kiswahili nao ni ujinga vilevile,mihemko yanini wakati nachokizungumza kikowazi rudia kusoma nilichokiandika mwanzo usiuvae mkenge kama hayawani tu
Hauna mada muhimu katafute kazi ya kufanya
 
Are we still on induvidual visitors?? Smh....sai ni 2017

Beckham isnt even a billionaire......

Mnakaa watoto.....sasa kitua Tanzania alitumia pesa ngapi?

Probably stayed for a week spending 2000-8000$ a day which isnt the case probabky spent less than 50000$ for the whole trip sleeping food and travels ....na akarudi...now 5mn itasaidia nani?
Unakumbuka Roman Abramovic ujio wake Tz.Pia kuna watu mashuhuri duniani Co kwamba wanahela lakini wakizuru nchini kwako nchi nzima inarindima.Mfano uhuru kenyata alipokuja bongo mara ya kwanza kama rais tuliona kawaida kumbuka jamaa yenu anamawe kuliko Obama lakini alipokuja obama tofauti mpaka mkapata wivu mkaunda union of coalition yenu.
 
Are we still on induvidual visitors?? Smh....sai ni 2017

Beckham isnt even a billionaire......

Mnakaa watoto.....sasa kitua Tanzania alitumia pesa ngapi?

Probably stayed for a week spending 2000-8000$ a day which isnt the case probabky spent less than 50000$ for the whole trip sleeping food and travels ....na akarudi...now 5mn itasaidia nani?
Watekenywa wamekuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Monday itakua holiday juu Beckham amekam Tz??
katutanza kimataifa...mh. magifuli keshapiga total bun kwa ndege lenu....sasa kutakuwa na direct flight toka majuu mpk tz....kq watajamba checheeeee.....huu ni utawaoa mupyaaaaaaaaa......na mkizoea kutegemea watz ktk kila kitu sasa mambo yamebadilika
 
Hakuna hata kitu moja tunategemea Tz...ata mueke wall kwa border Hakuna hasara tutakayo pata
 
JF Niko hapa juu kuna Kenyan news....mkitoa iyo mini forum ya Kenya najitoa huku pia...btw karibu sana after kichapo ulichokipokea twitter
Kwikwi ni kama stori za watoto wadogo kususia kula wakati njas kali.
 
Back
Top Bottom