COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Hauna mada muhimu katafute kazi ya kufanyakuongea kimagharibi katika mazungumzo ya kiswahili nao ni ujinga vilevile,mihemko yanini wakati nachokizungumza kikowazi rudia kusoma nilichokiandika mwanzo usiuvae mkenge kama hayawani tu
wewe unao??Hauna mada muhimu katafute kazi ya kufanya
'We' as you are not alone?Ooh kiswahili ata tufanye mtihani na wewe na kushinda....any way no need to give you a lugubrious day...I have fastidiously noticed that we can talk nothing with fools like you from bongolala
Unakumbuka Roman Abramovic ujio wake Tz.Pia kuna watu mashuhuri duniani Co kwamba wanahela lakini wakizuru nchini kwako nchi nzima inarindima.Mfano uhuru kenyata alipokuja bongo mara ya kwanza kama rais tuliona kawaida kumbuka jamaa yenu anamawe kuliko Obama lakini alipokuja obama tofauti mpaka mkapata wivu mkaunda union of coalition yenu.Are we still on induvidual visitors?? Smh....sai ni 2017
Beckham isnt even a billionaire......
Mnakaa watoto.....sasa kitua Tanzania alitumia pesa ngapi?
Probably stayed for a week spending 2000-8000$ a day which isnt the case probabky spent less than 50000$ for the whole trip sleeping food and travels ....na akarudi...now 5mn itasaidia nani?
wacha kupiga mayowe MZEE WA IPHONE7Kenya catches the eye of the world’s super rich
Si ati tunaringa....facts in facts
sasa hivi watalii wameshtuka ngoma wanakuja directManyang'au yanaweza dai Beckham katua Kenya
Watekenywa wamekuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Are we still on induvidual visitors?? Smh....sai ni 2017
Beckham isnt even a billionaire......
Mnakaa watoto.....sasa kitua Tanzania alitumia pesa ngapi?
Probably stayed for a week spending 2000-8000$ a day which isnt the case probabky spent less than 50000$ for the whole trip sleeping food and travels ....na akarudi...now 5mn itasaidia nani?
Akili yako bado sana bwana mdogo, kila kitu kuamini mpaka uone mzungu kaandika!Ooh dar slum naskia mko na kila kitu hadi gorofa refu duniani but wazungu huwarank nyuma ya Nairobi. Iyo ni chuki ama
Imekuchoma hiiWanyama wenyewe ndio huvuka Kenya...kwani una kichaa nini
katutanza kimataifa...mh. magifuli keshapiga total bun kwa ndege lenu....sasa kutakuwa na direct flight toka majuu mpk tz....kq watajamba checheeeee.....huu ni utawaoa mupyaaaaaaaaa......na mkizoea kutegemea watz ktk kila kitu sasa mambo yamebadilikaSasa Monday itakua holiday juu Beckham amekam Tz??
tatizo wakenya wamedumazwa na jangwaAcha dharau wewe, wivu unakusumbua eeh
Hakuna hata kitu moja tunategemea Tz...ata mueke wall kwa border Hakuna hasara tutakayo patakatutanza kimataifa...mh. magifuli keshapiga total bun kwa ndege lenu....sasa kutakuwa na direct flight toka majuu mpk tz....kq watajamba checheeeee.....huu ni utawaoa mupyaaaaaaaaa......na mkizoea kutegemea watz ktk kila kitu sasa mambo yamebadilika
JF Niko hapa juu kuna Kenyan news....mkitoa iyo mini forum ya Kenya najitoa huku pia...btw karibu sana after kichapo ulichokipokea twitterKwikwikwi. vipi kuhusu JF?
Wewe na uzee wako wote ulibishaba na KOT kutumia picha za kijinga...ukaelimishwa vizuri...(najua hujui KOT ni (Kenyans On Twitter)Kwikwi ni kama stori za watoto wadogo kususia kula wakati njas kali.
tulinyorosha hii mama mbaya sana huko twitter[emoji3]Wewe na uzee wako wote ulibishaba na KOT kutumia picha za kijinga...ukaelimishwa vizuri...(najua hujui KOT ni (Kenyans On Twitter)