hizi bangi za kuvutia chooni mbaya sanaDavid De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.
Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
Licha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.
Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
huyo jamaa hapo juu kashiba ugali wa muhogoLicha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.
Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.
Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
Levy yashin "the spider "au black panther hicho chuma kilikuwa acrobatic sio polepole ubora wake vijana watizame video zake. Bado damu changa pana rekodi nyingi za kuvunja ambazo hata kuzifikia bado. Hawa wawili ulowataja ni kielelezo tosha mzee mwenzangu.Licha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.
Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.
Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
Lazima utakuwa kizazi cha dot com weweDavid De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.
Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
hakika uko sahihi mzee mwezanguLevy yashin "the spider "au black panther hicho chuma kilikuwa acrobatic sio polepole ubora wake vijana watizame video zake. Bado damu changa pana rekodi nyingi za kuvunja ambazo hata kuzifikia bado. Hawa wawili ulowataja ni kielelezo tosha mzee mwenzangu.
Jibu hoja kwa hoja.hizi bangi za kuvutia chooni mbaya sana
Mimi nahisi sio bangi utakuwa ni ugolo tu huo,maana si kwa pumba na mipovu hiyoBadala ya kujibu post unaleta uquimer wako
na wewe pia hujielew kama huyo mwenzako, mtu mwenye ufaham wa soka hawezi kuleta hoja kama hiiJibu hoja kwa hoja.
Hoja yake inalingana na jibu alilopewa,huwezi kutoa post upupu kama hii alafu usilipwe unachostahili,mimi naona atafute kwanza levo za kina manula na kabwili ndio tuanze kumpambanisha na angalau kina oblak na cabaleloJibu hoja kwa hoja.
Kale limao na chumvi utulize mawenge!na wewe pia hujielew