David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.

Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
Licha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.

Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.

Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
 
huyo jamaa hapo juu kashiba ugali wa muhogo
 
Licha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.

Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.

Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
Levy yashin "the spider "au black panther hicho chuma kilikuwa acrobatic sio polepole ubora wake vijana watizame video zake. Bado damu changa pana rekodi nyingi za kuvunja ambazo hata kuzifikia bado. Hawa wawili ulowataja ni kielelezo tosha mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom