XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
yaan eti kuzuia mashuti ya kina Walcott, Sanchez, giroud, Morata, hazard, Kane, lukaku eti ndio kipa bora wa muda woteSimuoni hata kama anawafikia jean oblack na Marc Andre terstergen
Shukran nyingi kwako ndugu yangu wote kwa ujumla wetu ndio tunafanya jamii forum.com inasonga mbele pia ahsante nyingi kwa kuutambua uwepo wangu.sijawahi kujutia kusoma comment za Guasa Amboni hususan linapokuja suala la kuzungumzia mpira wa miguu linalowahusu wachezaji wa zamani.nimeangalia videos za levy yashin wakati wa uhai wake jamaa anaruka kama eagle.hatari sana nasikia jamaa aliokoa penalty 150.
Buffon + toldo + kahn +van der sar +vitor baia =levy yashin
Nimemtaja pia tizama moja ya andiko langu nimezungumzia mbwembwe zake namna alivyoweza kumfanya Roger Milla akimbie mpaka penye kibendera na kukata mauno baada ya kutaka mlamba chenga na Milla kuunasa mpira na kuzipasia nyavu hiyo ilikuwa mwaka wa 1990 pale kwa buruda (Italy )Kuna renee higuita yule w COlombia pia mkuu
Bangi hz!Simuoni hata kama anawafikia jean oblack na Marc Andre terstergen
Omo hii!Kipa bora ni Manuel Neuer . Huyo Degea ni promo 2 hana lolote
RENE HIGUITAoliva kan neuer schimichael cassilas na kuna mmoja hivi wa america kusini alikuwa na mbwembwe sana ngoja nimkumbuke
aisee huyo mrusi hafai mkuuLevy yashin katika uhai wake wa soka alitengeneza clean sheets 270.
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji125]Matatizo ya kufatilia mpira kwa njia ya kubeti haya