David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

Simuoni hata kama anawafikia jean oblack na Marc Andre terstergen
yaan eti kuzuia mashuti ya kina Walcott, Sanchez, giroud, Morata, hazard, Kane, lukaku eti ndio kipa bora wa muda wote

Ila kashasema ni maoni yake acha aendelee kumkubali
 
sijawahi kujutia kusoma comment za Guasa Amboni hususan linapokuja suala la kuzungumzia mpira wa miguu linalowahusu wachezaji wa zamani.nimeangalia videos za levy yashin wakati wa uhai wake jamaa anaruka kama eagle.hatari sana nasikia jamaa aliokoa penalty 150.
Buffon + toldo + kahn +van der sar +vitor baia =levy yashin
 
Shukran nyingi kwako ndugu yangu wote kwa ujumla wetu ndio tunafanya jamii forum.com inasonga mbele pia ahsante nyingi kwa kuutambua uwepo wangu.
 
Kuna renee higuita yule w COlombia pia mkuu
Nimemtaja pia tizama moja ya andiko langu nimezungumzia mbwembwe zake namna alivyoweza kumfanya Roger Milla akimbie mpaka penye kibendera na kukata mauno baada ya kutaka mlamba chenga na Milla kuunasa mpira na kuzipasia nyavu hiyo ilikuwa mwaka wa 1990 pale kwa buruda (Italy )
 
Hawa ndio wanaopiga kelele za Messi na Ronaldo kuwalinganisha na wanyama wa zamani
 
Back
Top Bottom