David Evance Komba: Tanzania haiwezi kushtakiwa ICC kwa matukio ya Oktoba 29

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata

Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua

Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
 
Who arrr uyuuuu!
 
Yuko sahihi kabisa. Mamlaka ya ndani kama ipo na ina uwezo wa kushughulikia ICC haiwezi kuingilia, 2008 Kenya kulikuwa na pande mbili ambazo zilikuwa zinashutumiana na wote walikuwa serikalini ndiyo maana Ocampo akalazimika kuingilia
 
Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata

Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua

Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Huyo mbobevu wako kwani amebobea akiwa wapi???
 
Hamna msomi hapa. Yaani anahalalisha mauaji ya watu!! Kwani hizo mahakama zina kazi gani? Kwani wangepiga risasi za miguu, rubber bullets, au mabomu ya machozi wangepoteza nini?

2. Kingine kama anadai wananchi walikua organised (genge la uhalifu) mbona wamepewa kesi ya uhaini na wakaachiwa si wangeendelea na kesi walete ushahidi? Why waliwaachia, sababu walijua hawakua na makosa.

4. Kingine wengi tu waliuwawa baada ya 29, yaani mpaka tarehe 30 na kuendelea. Actually mtaani kwetu ile tarehe 2 mtu alipigwa risasi!! Sasa huyo naye alikua ameandamana wapi ilihali serikali ilishakua ime regain control?

Hii nchi wasomi wanaendekeza njaa sana. Na hatuwezi pata mabadiliko ya kweli.
 
siyo mwanasheria mimi lkn kwa kumsikliza huyo anayeitwa mwanasheria bingwa naona kabisa ni mtupu au anapotosha kwa makusudi, kama icc wangekuwa wanafanya kazi kama alivyoelezea kwamba wanasikiliza serikali kandamizi iliyofanya mauaji basi hakuna hata mtu mmoja ambaye angewahi kushitakiwa na icc leo hii, kwa maana wote walioshitakiwa wangeweza kuunda tume pia kama tanzagiza ...
 
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Hao jambo TV si wamepigwa rungu na TCRA na JAB sasa wanaanza kutengeneza content zinazoegemea kule ni script wamepewa kwamba km wanataka waendelee kuwepo wafanye km kilichoandikwa kwenye script wakifanya kinyume chake km kumuita Mwanasheria Pascal Mayalla na kuanza kuichabanga serikali basi wanapigwa rungu twice huku unachezea rungu na huku unachezea rungu, naomba huyo mwanasheria akutane na Odemba Chifu amgonge maswali vizuri
 
siyo mwanasheria mimi lkn kwa kumsikliza huyo anayeitwa mwanasheria bingwa naona kabisa ni mtupu au anapotosha kwa makusudi, kama icc wangekuwa wanafanya kazi kama alivyoelezea kwamba wanasikiliza serikali kandamizi iliyofanya mauaji basi hakuna hata mtu mmoja ambaye angewahi kushitakiwa na icc leo hii, kwa maana wote walioshitakiwa wangeweza kuunda tume pia kama tanzagiza ...
Fanya km script inavyosema kwa hio wanafuata script waliyopewa na hata km una swali kinzani huruhusiwi kuuliza sababu lipo nje ya script
 
Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata

Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua

Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Bullshit. Nani aliyeuawa au kujeruhiwa kwa risasi akiwa anafanya uhalifu?
 
well done Komba:KasugaYeah:
 
Si atulie, kwani ana haraka gani?
Uteuzi!
Kwani hata siku moja uliwahi kusikia jina lake mkuu'Tindo'!
Tayari hiyo ni fursa iliyojitokeza kwake, na mhalifu Samia atakuwa kishajuwa kuna 'Komba' mahali fulani. anayefaa kutumika kama kikaratasi cha chooni.
 
Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Huu ni ukweli nchi za Ulaya zitataka mkataba wa rasilimali kama Congo na USA.

Lakini Serikali ilivyofanya juu ya wananchi wake sio vizuri kabisa. Hivi yule kijana aliejifanya jasusi(Khabil) kaishia wapi?.
 
Kwani tangu lini ICC inashitaki nchi? Watu wazima mnaongea issue serious mnachekacheka tu.

Kule Sudan, Al-Bashir alishitakiwa na kuhukumiwa na mahakama ya ndani ila pia kesi yake ya ICC ilibaki pale pale.

Tibaijuka alitolea ufafanuzi sahihi juu ya hili.
 
Huyo sio mwanasheria labda kishoka wa sheria na kidampa wa Lumumba.

Huyu kishoka awadanganye wajinga , Kenya kesi yao ilikua raia kwa raia na sasa kwa Tanzania ni jeshi lenye silaha za kivita dhidi ya wananchi wasiokuwa na silaha.

Aendelee kula posho yake taratibu siku zinakuja watatafutana.
 
Back
Top Bottom