Who arrr uyuuuu!Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Yuko sahihi kabisa. Mamlaka ya ndani kama ipo na ina uwezo wa kushughulikia ICC haiwezi kuingilia, 2008 Kenya kulikuwa na pande mbili ambazo zilikuwa zinashutumiana na wote walikuwa serikalini ndiyo maana Ocampo akalazimika kuingiliaWakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Huyo mbobevu wako kwani amebobea akiwa wapi???Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Hao jambo TV si wamepigwa rungu na TCRA na JAB sasa wanaanza kutengeneza content zinazoegemea kule ni script wamepewa kwamba km wanataka waendelee kuwepo wafanye km kilichoandikwa kwenye script wakifanya kinyume chake km kumuita Mwanasheria Pascal Mayalla na kuanza kuichabanga serikali basi wanapigwa rungu twice huku unachezea rungu na huku unachezea rungu, naomba huyo mwanasheria akutane na Odemba Chifu amgonge maswali vizuriHayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Fanya km script inavyosema kwa hio wanafuata script waliyopewa na hata km una swali kinzani huruhusiwi kuuliza sababu lipo nje ya scriptsiyo mwanasheria mimi lkn kwa kumsikliza huyo anayeitwa mwanasheria bingwa naona kabisa ni mtupu au anapotosha kwa makusudi, kama icc wangekuwa wanafanya kazi kama alivyoelezea kwamba wanasikiliza serikali kandamizi iliyofanya mauaji basi hakuna hata mtu mmoja ambaye angewahi kushitakiwa na icc leo hii, kwa maana wote walioshitakiwa wangeweza kuunda tume pia kama tanzagiza ...
Bullshit. Nani aliyeuawa au kujeruhiwa kwa risasi akiwa anafanya uhalifu?Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
well done KombaWakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio hayo, imeelezwa kuwa Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Imeelezwa kuwa ICC haiwezi kuanza kuwachukulia hatua viongozi wa Taifa lolote bila kufuata utaratibu, ambapo jambo la kwanza linalotazamwa ni endapo nchi husika haiko tayari kushughulikia jambo hilo au kama itaamua kushughulikia kuonekane uwepo wa dalili za upendeleo, jambo ambalo inaweza kuwa tofauti kwa Tanzania kutokana na Tume iliyoundwa, sambamba na kauli ya serikali kuwa inasubiri ripoti ya Time hiyo ili iweze kuchukua hatua
Hayo yamefafaniliwa na David Evance Komba ambaye ni Mbobevu wa Sheria za Kivita (International Humanitarian Law -IHL) alipokuwa akihojiwa na Jambo TV kupitia kipindi cha 'Jambo Asubuhi' leo, Jumatano Machi 11.2026.
Uteuzi!Si atulie, kwani ana haraka gani?
Huu ni ukweli nchi za Ulaya zitataka mkataba wa rasilimali kama Congo na USA.Tanzania haiwezi kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na matukio ya Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata
Chawa tu huyoSi atulie, kwani ana haraka gani?