David Evance Komba: Tanzania haiwezi kushtakiwa ICC kwa matukio ya Oktoba 29


Hakuna mtu anashitaki nchi anashitakiwa ni raisi fake Samia
 
Ili uweze kumshtaki Rais SSH lazima uweze kuthibitisha pasipo shaka uwepo wa mpango wa awali wa mauaji hayo. Lazima uweze kuweka wazi namna mpango mzima ulivyopangwa mpaka mauaji yakafanyika.

Wasaidizi wa Hitler walishtakiwa baada ya mpango wa awali kuwekwa wazi mahakamani, Saddam Hussein ushahidi uliwekwa wazi, kule Rwanda wahutu walishtakiwa baada ya ushahidi dhidi yao wa kupanga mauaji kuwekwa hadharani.

Kumshtaki SSH au serikali itakuwa ngumu kwa sababu maamuzi ya kudhibiti vurugu yalifanyika baada ya vurugu hizo kuanza, zisingetokea vurugu hakuna mtu yoyote ambaye angepigwa risasi.

Tarehe 9 na 25 Desemba hazikufanyika vurugu na hakuna mtu hata mmoja aliyedhurika.
 
Yuko sahihi kabisa. Mamlaka ya ndani kama ipo na ina uwezo wa kushughulikia ICC haiwezi kuingilia, 2008 Kenya kulikuwa na pande mbili ambazo zilikuwa zinashutumiana na wote walikuwa serikalini ndiyo maana Ocampo akalazimika kuingilia
Hapa kwetu kuna pande ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…