====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema CHAN ni fursa pekee kwa Watanzania wote hasa sekta binafsi na sekta ya Umma ili kutengeneza ajira na mitaji kwa Watanzania kwa mfano kwa kujenga Viwanja vidogo vya Mpira kwaajili ya mazoezi ya timu zitakazokuja kushiriki mashindano hayo pamoja na Hoteli mbalimbali kwaajili ya chakula kwa washiriki na Wananchi wengine wote katika Mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es salaam