David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kafulila anasema CHAN ni fursa pekee kwa Watanzania wote hasa sekta binafsi na sekta ya Umma ili kutengeneza ajira na mitaji kwa Watanzania kwa mfano kwa kujenga Viwanja vidogo vya Mpira kwaajili ya mazoezi ya timu zitakazokuja kushiriki mashindano hayo pamoja na Hoteli mbalimbali kwaajili ya chakula kwa washiriki na Wananchi wengine wote katika Mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es salaam

====
 
Kafulila anavyozungumza ni kama anaa wenge la konyagi..... Tazama macho yake. UNAWEKEZAJE UWANJA NA HOTELS KWA MASHINDANO YA MWEZI MMOJA?????
 
====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kafulila anasema CHAN ni fursa pekee kwa Watanzania wote hasa sekta binafsi na sekta ya Umma ili kutengeneza ajira na mitaji kwa Watanzania kwa mfano kwa kujenga Viwanja vidogo vya Mpira kwaajili ya mazoezi ya timu zitakazokuja kushiriki mashindano hayo pamoja na Hoteli mbalimbali kwaajili ya chakula kwa washiriki na Wananchi wengine wote katika Mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es salaam

View attachment 3210743

====
Kafulila ni muhamasishaji mzuri kwa PPP
 
Wazo la kuandaa AFCON 2027 mmelibeba pasipo kutoa appreciation kwa mhusika aliyekuja nalo.

MUNGU ATAWALAANI MBW* NYIE..
 
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Najua anacholenga, haya Mambo unaweza kudhani ameongea tu kumbe ni well tailored statements za kuwabeba Watu fulani...... Nimeandika nikafuta
 
Back
Top Bottom